Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wakou mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo


wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi



kuisha! Kwakweli nasumbuka mno[/QUOTE





Ndugu Yangu usiangae na mkojo tafuta maziwa ya mbuzi unywe grasi moja Asubuhi na grasi moja jioni kwa muda wa mwezi mmoja au hata wiki 2 utaona mabadiliko pia nasema hivyo kwa sababu Mke Wangu amepona vidonda vya tumbo kwa kunywa maziwa ya mbuzi.
 
Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno
Usinywe mara mbili kwa siku kunywa maramoja asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu ndio ukinge huo mkojo wako unywe kisha ukae kwa muda wa saa moja bila ya kula kitu baada ya saa moja kupita waweza kula chakula fanya hivyo kwamuda wa siku 10 kisha nenda kapime utakuta huna tenda Vidonda vya tumbo. Ushahidi bonyeza hapa.[h=1]Topic: Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!![/h]
 
du sio kharam kweli Mzizi Mkavu njoo utusaidie
Ki Dini ni Haramu kitibabu sio haramu Mkuu msumeno Hapa hatuko kwenye Jukwaa la dini tupo kwenye jukwaa la JF Doctor.

MziziMkavu atakuja kukwambia ulikua unakosea mda wa kunywa, ulitakiwa unywe saa 12:56.4 am.
Ni kweli kaka Jambazi Mkojo wako mwenyewe unatakiwa unywe Asubuhi kabla ya kula kitu chochote kile kipimo cha glasi moja tu kisha unakaa kwa muda wa saa nzima bila ya kula kitu. Mkojo wako Mwenyewe unatibu Maradhi haya hapa chini.


Urine Therapy Testimonials

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF00"] Parkinson's[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Lung Cancer[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FF99CC"]Stage 4 Breast Cancer[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FF99CC"]Stage 3 Ovarian Cancer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Emphysema[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FF99CC"]Colon Cancer[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FF99CC"]Breast Lumps[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #66FFFF"]Prostate Cancer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF00"]Hepatitis C[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #6699FF"]Fibroid Tumor[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Multiple Sclerosis[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #6699FF"]Cystitis, bladder infection[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Epilepsy[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Consumption[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF00"]Fever, baby with[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #6699FF"]High fever, undiagnosed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Allergies[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #66FFFF"]Enlarged Prostate[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Food Poisoning[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FFFF00"]Antibiotic resistant COLITIS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Asthma[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF99"]Lyme Disease[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Parasites, Amebas[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FFFF00"]Auto-intoxication[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Influenza[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF99"]Kidney Stones[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF00"]Heart Burn[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #6699FF"]Tooth Abscess[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Gangrene[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Rectal Bleeding[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]AIDS-1 AIDS-2[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FF99CC"]Brain Tumor inoperable[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Rosacea[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Liver Disease[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Malaria, Dysentery[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FF99CC"]Low back pain, very severe[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD="width: 100%"][SIZE=-1]The color in each box indicates which book contains information to deal with a particular malady or disease, though all of them contain holistic and prophylactic information that can help you live healthy, improve your health or help you fight multiple diseases. [/SIZE][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 98%"]
[TR]
[TD="width: 11%, bgcolor: #FFFF99, align: center"]Uropathy[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #66FFFF, align: center"]Prostate Cancer[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #FFFF00, align: center"]Salt* Deficiency[/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #6699FF, align: center"]Universal Remedy[/TD]
[TD="width: 60%, bgcolor: #FF99CC, align: center"]Breast Cancer[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Inasikitisha sana bandugu mimi pia nilisumbuka na vidonda miaka mingi kila dawa nilitumia hakuna matumaini ila chokochoko alinipa dawa flani hivi nikaitumia kwa muda wa wiki 2 hadi leo ukiniuliza ulcers nini sijuhi tena maana Kama utani nilipona kabisa hata ninywe pilipili niko fresh kabisa hadi namimi nilichukulia wahanga wengine nao wakapona kwakweli ahsante sana chokochoko maana nimepona nasitaacha kusema nimepona kabisa hadi exray haioni vidonda najinsi nilivyotaabika mwee Mungu ni mwema Jamani, nakushauri umpm chokochoko faster kabla hujakatika utumbo mtendaji

hongera sana kwa kupona inabidi na mimi nimtafute Chokochoko
 
Last edited by a moderator:
kama hali yako ni mbaya nenda hospital au uliambiwa ukinywa mkojo wako utapona

Fikiria kidogo basi we dada,
Asingekunywa mkojo km dawa za hospitali zingempa nafuu.
I believe hadi anakunywa mkojo wake mwenyewe, kakata tamaa na vidonge vya hospitali
 
Usinywe mara mbili kwa siku kunywa maramoja asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu ndio ukinge huo mkojo wako unywe kisha ukae kwa muda wa saa moja bila ya kula kitu baada ya saa moja kupita waweza kula chakula fanya hivyo kwamuda wa siku 10 kisha nenda kapime utakuta huna tenda Vidonda vya tumbo. Ushahidi bonyeza hapa.[h=1]Topic: Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!![/h]
MziziMkavu you are one of the useful member in JF credits
 
Last edited by a moderator:
unatakiwa unywe mkojo ukiwa wa moto,umekaa siku zaidi ya moja au?
Kabla ya kunywa mkojo nenda Hospitali kapime kwanza huo mkojo wako je hauna Maradhi? ikiwa huo mkojo wako hauna maradhi ndipo unapo amka asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu asubuhi sana nenda choooni kakinge mkojo wako kipimo cha glasi moja kisha ndio unywe hapo hapo .

Kisha ukae kwa mud wa saa 1 bila ya kula baada ya saa waweza kula chakula fanya hivyo kwa muda wa siku 10 kisha nenda kapime maradhi yako utakuta umekwisha pona.
 
Kabla ya kunywa mkojo nenda Hospitali kapime kwanza huo mkojo wako je hauna Maradhi? ikiwa huo mkojo wako hauna maradhi ndipo unapo amka asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu asubuhi sana nenda choooni kakinge mkojo wako kipimo cha glasi moja kisha ndio unywe hapo hapo . Kisha ukae kwa mud wa saa 1 bila ya kula baada ya saa waweza kula chakula fanya hivyo kwa muda wa siku 10 kisha nenda kapime maradhi yako utakuta umekwisha pona.

sawa dokta
 
Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno

sasa mi nnavyojua kidogo kwamba vidonda vya tumbo vinaathiriwa zaid na vitu vyenye acid. na mkojo kawaida una urea ambayo ni toxic. sasa hapo si utaongeza maumivu. mkojo huo huo una salt, ambayo inazidisha vidonda.
 
sasa mi nnavyojua kidogo kwamba vidonda vya tumbo vinaathiriwa zaid na vitu vyenye acid. na mkojo kawaida una urea ambayo ni toxic. sasa hapo si utaongeza maumivu. mkojo huo huo una salt, ambayo inazidisha vidonda.
Mkuu raji makuya kitu kama hujuwi bora ulize hiyo sumu (Toxic) uliyosema kwenye mkojo ipo kidogo sana tena haina madhara hebu soma hapa chini ujuwe nini mkojo wako?


OUTLINE:
What is urine therapy?
Urine as a lifesaver:

What is in urine?

What happens when you consume your own urine?

A closer look at the details:

How to use urine therapy?

What are the claims by urine therapy advocates?

Examples of scientific hypotheses involving urine therapy:
Urine, enzymes and heart diseases:
Urine, urea and liver cancer:
So what can we conclude?

What is urine therapy?

The basic definition of "urine therapy" is using (your own) urine internally or externally as a way to aid or sustain your heath. Urine therapy, which includes drinking, injecting, massaging with-, and/or bathing in- urine, is an ancient practice that is used today, not only in times of sickness, but also in times of good health for preventive health maintenance. It has been claimed to have proven helpful in a great number of varying illnesses, ranging from a simple cold and a throat-ache, to tuberculosis and asthma, from minor skin problems such as itching to major skin problems such as eczema, psoriasis and even skin cancer. But you probably ask, "How can your own urine benefit your health? Besides, isn't it toxic?"

Urine as a lifesaver:
During the NBC Nightly News on October 16, 1992, Tom Brokaw reported that, "In Egypt, rescue workers found a 37-year old man alive in earthquake rubble. He survived almost 82 hours by drinking his own urine. His wife, daughter and mother would not and they died". We have all heard stories of individuals who have either lived or died by being trapped in places without food or water for days. In those stories, the survivors

were always the ones that drank their own urine. The ones that died probably could not overcome the misguided thoughts that urine is an unhealthy waste product of the body. But its not; urine is simply a substance that the body does not need at the time, and a substance that the body secretes. And sometimes, it's a lifesaver.

What's in urine?
Urine, 95% of which is water, 2.5% of which is urea, and 2.5%[/COLOR] of which is a mixture of minerals, salts, hormones, and enzymes, is not a toxic waste product. Urine is a blood byproduct and though it contains some body waste, it is non-toxic. In 1975, Dr. A.H. Free, published his book Urinalysis in Clinical Laboratory Practice, in which he presents a few critical nutrients found in urine:

urine_image3.gif

Alanine, total ..... 38 mg/day
Arginine, total ..... 32 mg/day
Ascorbic acid ..... 30 mg/day
Allantoin ..... 12 mg/day
Amino acids, total ..... 2.1 g/day
Bicarbonate ..... 140 mg/day
Biotin ..... 35 mg/day
Calcium ..... 23 mg/day
Creatinine ..... 1.4 mg/day
Cystine ..... 120 mg/day
Dopamine ..... 0.40 mg/day
Epinephrine ..... 0.01 mg/day
Folic acid ..... 4 mg/day
Glucose ..... 100 mg/day
Glutamic acid ..... 308 mg/day
Glycine ..... 455 mg/day
Inositol ..... 14 mg/day
Iodine ..... 0.25 mg/day
Iron ..... 0.5 mg/day
Lysine, total ..... 56 mg/day
Magnesium ..... 100 mg/day
Manganese ..... 0.5 mg/day
Methionine, total ..... 10 mg/day
Nitrogen, total ..... 15 g/day
Ornithine ..... 10 mg/day
Pantothenic acid ..... 3 mg/day
Phenylalanine ..... 21 mg/day
Phosphorus, organic .....9 mg/day
Potassium ..... 2.5 mg/day
Proteins, total ..... 5 mg/day
Riboflavin ..... 0.9 mg/day
Tryptophan, total ..... 28 mg/day
Tyrosine, total ..... 50 mg/day
Urea ..... 24.5 mg/day
Vitamin B6 ..... 100 mg/day
Vitamin B12 ..... 0.03 mg/day
Zinc ..... 1.4 mg/day
 
Hata m ni muhanga wa ugonjwa huu nshatumia dawa nying kama Natragen lakn sion dall yoyote ya kupona na inauzwa bei ghar kwel lakn nmeamn hawa jamaa wanakula hela za watu bure sa nmeambiwa niende Kairuki Hosptal et wana dawa nzuri lakin nahs yatakua yale2 sa naomba ambae anafaham dawa nzuri ya kutib ugonjwa huu m ntamufuata kwa gharama yeyote au ani call kwa namba ang 0786520885 ntashkru sana wana JF
 
Unataka upewe dawa gani tena mkuu, umeshaambiwa kapime mkojo wako ukiwa hauna magonjwa kunywa kila siku asbh glass moja kwa siku 10, unataka nini zaidi
Mwingine kasema kunywa maziwa ya mbuzi kila siku asubuhi na jioni, bado unataka dawa gani zaidi
Ushauri kabla hujapost jaribu kupitia post za watu wengine kwanza uone wamechangia nini, karibu!


Hata m ni muhanga wa ugonjwa huu nshatumia dawa nying kama Natragen lakn sion dall yoyote ya kupona na inauzwa bei ghar kwel lakn nmeamn hawa jamaa wanakula hela za watu bure sa nmeambiwa niende Kairuki Hosptal et wana dawa nzuri lakin nahs yatakua yale2 sa naomba ambae anafaham dawa nzuri ya kutib ugonjwa huu m ntamufuata kwa gharama yeyote au ani call kwa namba ang 0786520885 ntashkru sana wana JF
 
Pole, MziziMkavu alisema unywe mkojo wako wa asubuhi, hakusema mara mbili.

Pia tumia ile ya mbegu za parachichi, nimewahi kuwaambia wengi na wamepona.
Ngoja niitafute ili ujue namna ya kutengeneza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom