Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

Vidonda vya tumbo
Jitahidi kukimbia vyakula vyenye tindikali?? (Acid) kama Limau, ndimu, binzari, maharage, pombe kali au pombe kwa ujumla nk ...

1. Tiba ya Vidonda vya tumbo

Dawa yenyewe ni hivi, chukua kokwa la parachichi, likatekate vipande vidogo vidogo kisha anika juani mpaka likauke. Baadae saga ili kupata unga laini. Chukua yai la kuku wa kienyeji, pasua utoe kile kiini chenye rangi ya njano, changanya na ule unga ambao umeandaa awali, koroga ili kupata mchanganyiko mzuri.

Kisha mpe mgonjwa wako anywe kijiko kimoja mara tatu, baada ya siku tatu atakuwa amepona.

Baada ya hapo akitaka kujua kama amepona au la, anaweza kufanya test ya kawaida kabisa kwa kula maharage, au chakula chenye pili*2 au akaenda kupima hospitali kabisa.

2. Dawa ya vidonda vya tumbo tumia Dawa ya Hii ya Kienyeji -

Ukiamka Asubuhi kabla ya kula kitu kojowa mkojo wako mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja uwe anakunywa mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha uende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana.
 
Hii hata mie nimesikia shida inakuja inategemea kama unakunywa maji ya kutosha basi mkojo wako utakuwa hauna alkaline nyingi ila kama hunywi maji mengi na mkojo asubuhi ukatoka wa njano rahisi kuunguza aesofagasi(njia ya kupitisha chakula kutoka kinywani hadi tumboni) yako.

Pia kuna watu wanasema mate yako ya asubuhi pia ni dawa ila nimegundua pia mate ya asubuhi ni dawa. Nnacho jiuliza tuu ni kuwa alkaline ndo dawa ya kutibu miili yetu???
Tiba asilia hizi bora kunywa mkojo wa punda.

Nahofia iko siku watu watasema mbegu za kiume ni dawa zinatibu kansa, wanaume watatarijikaje...............!!
 
Vidonda vya tumbo
Jitahidi kukimbia vyakula vyenye tindikali?? (Acid) kama Limau, ndimu, binzari, maharage, pombe kali au pombe kwa ujumla nk ...

1. Tiba ya Vidonda vya tumbo

Dawa yenyewe ni hivi, chukua kokwa la parachichi, likatekate vipande vidogo vidogo kisha anika juani mpaka likauke. Baadae saga ili kupata unga laini. Chukua yai la kuku wa kienyeji, pasua utoe kile kiini chenye rangi ya njano, changanya na ule unga ambao umeandaa awali, koroga ili kupata mchanganyiko mzuri.

Kisha mpe mgonjwa wako anywe kijiko kimoja mara tatu, baada ya siku tatu atakuwa amepona.

Baada ya hapo akitaka kujua kama amepona au la, anaweza kufanya test ya kawaida kabisa kwa kula maharage, au chakula chenye pili*2 au akaenda kupima hospitali kabisa.

2. Dawa ya vidonda vya tumbo tumia Dawa ya Hii ya Kienyeji -

Ukiamka Asubuhi kabla ya kula kitu kojowa mkojo wako mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja uwe anakunywa mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha uende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana.

Mkuu huo mchanganyiko kwenye tiba namba 1 ni dozi ya siku moja au siku tatu?

Na kijiko cha kutumia ni cha chai au cha chakula?
 
Tumia hadi usikie nafuu kabisa; au tuseme endelea kutumia hadi upone,
kijiko ni kidogo au wanaita kijiko cha chai.

Mkuu huo mchanganyiko kwenye tiba namba 1 ni dozi ya siku moja au siku tatu?

Na kijiko cha kutumia ni cha chai au cha chakula?
 
Mbona hutupatii feedback jamani na sie wenye vidonda vya tumbo tuanze kunywa.
 
Kuna yule alisema ukitaka kuongeza ukubwa wa dushelele upake pilipili kwenye kichwa cha dushelele,
kwa wale walijaribu tunaomba feedback
Fasouls
 
Last edited by a moderator:
Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona!

Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno.

Tupe feedback mkuu. Then nauliza nikinywa wa mke wangu wa asubuhi je, bado ni tiba?
 
Tumia hadi usikie nafuu kabisa; au tuseme endelea kutumia hadi upone,
kijiko ni kidogo au wanaita kijiko cha chai.

Naomba kujua proportion,makokwa mangapi ya parachichi kwa mayai mangapi kwenye mchanganyiko wa dawa ili iwe imekamilika?
 
Usinywe mara mbili kwa siku kunywa maramoja asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu ndio ukinge huo mkojo wako unywe kisha ukae kwa muda wa saa moja bila ya kula kitu baada ya saa moja kupita waweza kula chakula fanya hivyo kwamuda wa siku 10 kisha nenda kapime utakuta huna tenda Vidonda vya tumbo. Ushahidi bonyeza hapa.[h=1]Topic: Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!![/h]

ukiwa bado wa moto moto au nauacha upoe kwanza?
 
ukiwa bado wa moto moto au nauacha upoe kwanza?
Nenda chooni asubuhi kabla ya kula kitu kojoa kinga kisha unywe hapo hapo kisha kaa baada ya saa moja kupita waweza kula au kunywa chai fanya hivyo kila siku asubuhi mara 1 kwa siku muda wa 10 utapona hivyo vidonda vyako vya tumbo.
 
Back
Top Bottom