Nimeanza kuogea chumvi ya mawe kuondoa mikosi mwilini mwangu

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Wakuu mko salama humu?.

Baada ya kupitia changamoto nyingi za kimaisha,nikaamua kwenda kwa mganga kusafisha nyota.mganga hakua na mengi ya kunifanyia ,zaidi alinipa tu chumvi ya mawe akaniambia kila nikioga basi niiweke kwenye maji na kunuwia mahitaji yangu,mganga akaniambia nisisahau pia kulitaja jina la Mungu.
Ndo nimeanza jana rasmi kuogea hiyo chumvi.
 
Nakupa Siri. Acha kuogea chumvi ya mawe haitikusaidia

Ukiwa nje, vua viatu, simama ardhini. Funga macho waza fikiri jinsi umekuwa mti imara, mkuwa.

Katika akili yako wasa mizizi, hii miziz, iko chini ya nyayo zako. Ona jinsi mizizi hii ikiota na kuingia ardhini, vuta picha mizizi hii inashikilia maisha yako na kukuweka imara.

☺️matatizo yako yataisha. Keep doing it
 
Sawa
 
Hongera..
 
NGOJA NIKUAGUE KIDOGO

Fanya kazi uliyonayo/utakayokuwa nayo kwa bidii,umakini na uaminifu. Ukiona haifanikiwi basi badili mazingira ama mtindo wako wa kufanya kazi/biashara.....

Mikosi/nuksi/laana Ni stori tuu ili kukutia uoga na unyonge kwenye maisha🙏🙏🙏
 
Umeanzia kwa mganga sijui kama utasalimika...
 
😂😂
 
Bangi za msitu wa mapera kule mto themi
 
Hapo akimaliza anaambiwa haya lala Chali tuingize dawa.
Kuna dada mmoja anakaa mbezi alikuja kuomba ushauri eti alikua ana bwana akaachwa ghafla,Sasa waganga hawajui akakakumbuka Kuna boda alipanda yule boda akamwambia ye mganga pia,wakavadili namba za simu siku akipata tatizo amtafute.
Dada akampigia yule boda shida yake,boda akamwambia njoo kesho ijumaa akamuelekeza alipo.kufika ndoa anazuga kupandisha maruhani sijui kuomba kavaa kaniki jekundu.ikafika dada akaamabiwa vua nguo zote,lala chini,boda akapaka madubwasha kwenye naniliu yake.kilichofuataa....
Dada anasema alikua anaambiwa "sema utamu utamu utamu mara tatu.

Eti dawa itanfanya awe mtamu bwanake akirudi asimwache.


Ila sisi wanawake akili zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…