Nimeanza kupata marafiki wapya wanaojielewa kutoka huko duniani.

Nimeanza kupata marafiki wapya wanaojielewa kutoka huko duniani.

Unanilaumu mimi badala ya kuwalaumu wale waliotakiwa kukusomesha na hawakufanya hivyo mkuu?
Hata mimi usinilaumu yaani sentensi unaiwekea kiulizo hili ni swali au kauli🤣🤣🤣 Halafu unajikuta na wewe ni miongoni aiseee😂😂😂🤣 Hongera tajiri
 
😂😂😂pole mkuu kwa kukuumbua kujiona una akili kumbe mpuuzi😂
nimekuambia walaumu wazazi wako kwa kushindwa kukupeleka shule kushindwa kujua sentensi na swali😂😂
Kilo moja ya mahindi, ina punje ngapi za mahindi?
 
unafahamu goose bumps zako huwa zinakuwa ngapi katika centigrade 56.44
Huna akili wewe yaani mweupe sana😂😂ujuaji mwingi tu
Kama unashindwa ata kujua idadi ya meno yako; unaweza kujadili kitu chochote na mimi kweli?
 
Back
Top Bottom