Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
๐Hakuna rafiki asiyejielewa ni wewe tu namatumizi yako kwake ๐
๐คฃ๐คฃmatumizi yako tu mkuu๐Wewe Mbona Ni Rafiki Usiyejielewa Kwangu.
tapeli kama matapeli wengine tuKatika elimu yako ulifanya utafiti, 'research'?
Unanilaumu mimi badala ya kuwalaumu wale waliotakiwa kukusomesha na hawakufanya hivyo mkuu?tapeli kama matapeli wengine tu
Hata mimi usinilaumu yaani sentensi unaiwekea kiulizo hili ni swali au kauli๐คฃ๐คฃ๐คฃ Halafu unajikuta na wewe ni miongoni aiseee๐๐๐๐คฃ Hongera tajiriUnanilaumu mimi badala ya kuwalaumu wale waliotakiwa kukusomesha na hawakufanya hivyo mkuu?
Ubongo wako una GB ngapi?Hata mimi usinilaumu yaani sentensi unaiwekea kiulizo hili ni swali au kauli๐คฃ๐คฃ๐คฃ Halafu unajikuta na wewe ni miongoni aiseee๐๐๐๐คฃ Hongera tajiri
๐๐๐pole mkuu kwa kukuumbua kujiona una akili kumbe mpuuzi๐Ubongo wako una GB ngapi?
Kilo moja ya mahindi, ina punje ngapi za mahindi?๐๐๐pole mkuu kwa kukuumbua kujiona una akili kumbe mpuuzi๐
nimekuambia walaumu wazazi wako kwa kushindwa kukupeleka shule kushindwa kujua sentensi na swali๐๐
kwani gramu 10000 za faranga ni kg ngapi za terminal test?Kilo moja ya mahindi, ina punje ngapi za mahindi?
๐๐๐ wkend hii tutoke basi, angalau tupate supu ya mduduKwahiyo Equation x huko unamwaga nondo afu jf unakuja na nyuzi za kutafuta dem wa kuspend nae weekend....mbinguni utapasikia tu
Aiiiiii we kale prawns tu huko bana na marafiki zako wa huko mbele ๐๐๐๐ wkend hii tutoke basi, angalau tupate supu ya mdudu
Ebu hesabu meno yako, yako mangapi?kwani gramu 10000 za faranga ni kg ngapi za terminal test?
Sawa, ngoja niende kwenye ule uzi wa kimasihara ๐Aiiiiii we kale prawns tu huko bana na marafiki zako wa huko mbele ๐
Upo kwenye platform zipi katika s.media?mkuu naomba ni add mwenye hizo groups please
unafahamu goose bumps zako huwa zinakuwa ngapi katika centigrade 56.44Ebu hesabu meno yako, yako mangapi?
Link za hayo magroupnikaanza kujiunga kwenye magrupu ya wafanya biashara
Kama unashindwa ata kujua idadi ya meno yako; unaweza kujadili kitu chochote na mimi kweli?unafahamu goose bumps zako huwa zinakuwa ngapi katika centigrade 56.44
Huna akili wewe yaani mweupe sana๐๐ujuaji mwingi tu
Zinapatikana kwenye s.media mbali mbaliLink za hayo magroup