Nimeanza kupata wapinzani hapa...

Nimeanza kupata wapinzani hapa...

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Naona kwa mbaali nimeanza kupata wapinzani ambao hupoteza mda wao kuja kusoma nyuzi zangu huku wakijaa upepo (povu). Nasema nitashukuru sana wakiongezeka maana mtaniongezea angalau ufaham kidogo.

Mlimuandama shemej yangu Cha mdedo kwa I'd tofauti tofauti naona na mimi kuna dalili hiyo, njooni tu nawasubiri na upuuzi wenu. Ukiona thread ya mtu huipendi pitia nyingine usome zipo nyingi.

Ni mstaraabu sana ila ukinikwaza hapa hapatatosha kama ninavyochafua uwanja wa fb.
Vidudu mtu njooni shuwain zenu.
 
Utapata tabu sana. Unahangaika na ID? Avatar?
 
Mkuu mambo mengine unayaignore tu!ukizingatia hatufahamiani humu,hakuna haja ya kuumiza kichwa!
 
hihihihihiihihihihihihhihiiiii (in king majuto's voice)
 
Back
Top Bottom