Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Muda mdogo mambo mengi.... Jihadhari sana na matumizi ya ziada ya simu na hiyo iPad mwanga wake una mionzi yenye madhara kwa machoLabda simu ndo iwe imeniharibia uwezo wangu wa macho, maana kusema ukweli sasa ivi nasoma kupitia ipad na mara nyingi nipo kwenye hii simu.
Hongera mkuu naona hujaingia JF muda mrefu hadi leo!
Unaishije au unakaa porini hakuna net.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jr[emoji769]