Nimeanza kutumia PEP saa ya 38 tangu kujichoma sindano ya mtu aliyeathirika na VVU

Rafiki yangu ni nurse ishawahi kumtokea Hii kama mara mbili alipewa PEP yuko fresh now anasema dawa zilikua zinamchosha tu,,,ila kazi ya nurse Mungu awalinde aisee ni kazi ngumu sana na yakujitolea
 
Rafiki yangu ni nurse ishawahi kumtokea Hii kama mara mbili alipewa PEP yuko fresh now anasema dawa zilikua zinamchosha tu,,,ila kazi ya nurse Mungu awalinde aisee ni kazi ngumu sana na yakujitolea
Kwakweli zinachosha Sana asikwambie mtu kujihisi hovyo hovyo
 
Yan haukuchanyikiwa ata kidogo,?? Umeandika kirahisi sana
haya maisha simple sana ukiyachukulia kawaida
Mimi niligonga demu kavu ambaye baada ya wiki 1 nilikuja kuthibitisha ana maambukizi ya UKIMWI
chakushangaza Rafiki zangu ndio walichachawa baada kuwahakikishia nilimla kavu
Mimi nilikuwa cool tu nikafuata tu PROSIJA nikakaa miezi 3 kisha ndio nikaenda kupima enzi hizo hakuna PEP ARVs ilikuwa kutafuta kwa tochi mpk leo nadunda niko vizuri wakati mwingine mawenge na kuchachawa ndio yanakufanya unakonda ghafra ndani ya miezi 2 unakufa
 
Hujui eenh...ninyi vijana mliozaliwa enzi za ARV huwa mna dharau sana ngoma...na ndio mmeifanya isambae kama moto kwenye vichaka...
kwakeli huu UGONJWA kabla ARVs
umeondoa sana wapendwa wetu
Sidhani km kuna familia TANZANIA iliyokosa kuondokewa na mpendwa wao na huyu mdudu
tushukuru sana ARVs
 
Nikifikaga mahospital nawaonaga ni watu wa afya ni watu wenye roho ngumu sana aisee, respect kwao kazi ile daah!
 
Hujui eenh...ninyi vijana mliozaliwa enzi za ARV huwa mna dharau sana ngoma...na ndio mmeifanya isambae kama moto kwenye vichaka...
Haki ya nani, angekuwa matured miaka ya 1980s na 1990s, na akawaona wagonjwa wa hii kitu walivyokuwa bila shaka angekuwa na nidhamu mbele ya 'Ngwengwe'.
 
Ukimw mimi naona kama maralia nashangaa watu walivyo nahofu nina dawa ya uhakika ndan ya mwez tu hata ikiwa stage ya mwisho ya aids
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…