Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

Joined
Aug 26, 2014
Posts
56
Reaction score
17
Habari waungwana,
Mimi ni mdada am in my 30's. miaka ya hivi karibuni nimekua na tabia ambazo ni za ajabu sana sasa sijui ni nini kimenipata

i)sipendi kuvaa nguo na hivi naishi pekeangu najifungia tu siku za weekend ama nikitoka ofisini najifungia uchi huku
naperuzi mtandaoni ama naangalia tv. napata wakati mgumu nikiwa ofisini hadi nakua mkali sana.

ii)napoteza kumbukumbu kila dakika inayopotea nashindwa kukumbuka vitu vya msingi mpaka nieke reminder, nasahau watu nasahau ahadi nazowapa saa ingine nabisha kabisa kama tulizungumza mwisho naamua kufoka na kuvunja uhusiano ilimradi nisipate kero kutoka kwa binadamu yoyote.

nilikua nakunywa sana pombe lakini nimeacha nahisi inaeza ikawa ni moja ya sababu kubwa ilopelekea kuharibikiwa kwangu. sasa wakuu nawaomba mnishauri niende hospitali ama hii ni nini maanayake.:wacko:
 
kupoteza kumbukumbu na hasira ni dalili za magonjwa flan kama ulcers, kuwa na stress etc lakin hlo la kupenda kukaa uchi ni jingne
 
Vipi ndoto zako usiku zinakuwaje
 
Una PSYCHOLOGICALY problem ndugu yangu unahitaji kufanyiwa COGNITIVE BEHAVIORAL THERAPY nipm nikulink na psychologists
 
^^
Dalili za ugonjwa wa kujichua hizo. Ikiwemo unapokuwa peke yako, kupenda kuangalia picha za X, kutojiamini, visirani, kuchukia watu wa jinsia tofauti, kukataliwa,, Kujichua huanza kama mzaha, taratibu inakuwa inbuilt in pituitary grand.. Sasa Kujichua kunakuongoza na kukuendesha.
..
Kama kujichua ni tatizo mojawapo ulilonalo, anza taratibu kubadilika. Chukia mambo ya kimwili. Fanya Behavioral Conditioning
^^
 
Hata mi nahisi itakuwa ni psychological problem.... Yakubidi uende hospital haraka,sio dalili nzuri. Leo unafanya peke yako ndani,kesho utaenda hadi barabarani. Pole sana..
 

mimi siyo mtaalamu sana, ila hizi ni dalili kabisa za kichaaa, wahi hospital. Japo naona kama unaleta utani maana ulivyowasilisha tatizo lako unaonekana unajua unachokifanya na huna tatizo ulosema, ningejua katika uandishi.
 
Kujiendekeza tu,
Ngoja uanze kutoka ndani uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…