KATIBU MUHTASI
Member
- Aug 26, 2014
- 56
- 17
Habari waungwana,
Mimi ni mdada am in my 30's. miaka ya hivi karibuni nimekua na tabia ambazo ni za ajabu sana sasa sijui ni nini kimenipata
i)sipendi kuvaa nguo na hivi naishi pekeangu najifungia tu siku za weekend ama nikitoka ofisini najifungia uchi huku
naperuzi mtandaoni ama naangalia tv. napata wakati mgumu nikiwa ofisini hadi nakua mkali sana.
ii)napoteza kumbukumbu kila dakika inayopotea nashindwa kukumbuka vitu vya msingi mpaka nieke reminder, nasahau watu nasahau ahadi nazowapa saa ingine nabisha kabisa kama tulizungumza mwisho naamua kufoka na kuvunja uhusiano ilimradi nisipate kero kutoka kwa binadamu yoyote.
nilikua nakunywa sana pombe lakini nimeacha nahisi inaeza ikawa ni moja ya sababu kubwa ilopelekea kuharibikiwa kwangu. sasa wakuu nawaomba mnishauri niende hospitali ama hii ni nini maanayake.:wacko: