Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

You have a serious Problem...wahi hospitali
 
Katibumuhtasi bila shaka ana bosi wake,

Je, bosi wako anachukuliaje hii hali yako kwa sasa?
 
Last edited by a moderator:
mimi siyo mtaalamu sana, ila hizi ni dalili kabisa za kichaaa, wahi hospital. Japo naona kama unaleta utani maana ulivyowasilisha tatizo lako unaonekana unajua unachokifanya na huna tatizo ulosema, ningejua katika uandishi.
sileti mzaha jeki nipo serious
 
Habari waungwana,
Mimi ni mdada am in my 30's. miaka ya hivi karibuni nimekua na tabia ambazo ni za ajabu sana sasa sijui ni nini kimenipata

i)sipendi kuvaa nguo na hivi naishi pekeangu najifungia tu siku za weekend ama nikitoka ofisini najifungia uchi huku
naperuzi mtandaoni ama naangalia tv. napata wakati mgumu nikiwa ofisini hadi nakua mkali sana.

ii)napoteza kumbukumbu kila dakika inayopotea nashindwa kukumbuka vitu vya msingi mpaka nieke reminder, nasahau watu nasahau ahadi nazowapa saa ingine nabisha kabisa kama tulizungumza mwisho naamua kufoka na kuvunja uhusiano ilimradi nisipate kero kutoka kwa binadamu yoyote.

nilikua nakunywa sana pombe lakini nimeacha nahisi inaeza ikawa ni moja ya sababu kubwa ilopelekea kuharibikiwa kwangu. sasa wakuu nawaomba mnishauri niende hospitali ama hii ni nini maanayake.:wacko:
Utakuwaunahitaji dudu tu wewe!
 
Matatizo matatu yanayosumbua mwanamke.
1. Kukosa uhusiano wa kimapenzi wa kudumu
2. Kukosa wa kumsugua
3. Kukosa mme

Hilo huleta msongo wa mawazo, stress, ukali usio na sababu na kama hayo.

Wanamme matatizo yao makuu matatu ni tofauti ya wanawake.
 
Matatizo matatu yanayosumbua mwanamke.
1. Kukosa uhusiano wa kimapenzi wa kudumu
2. Kukosa wa kumsugua
3. Kukosa mme

Hilo huleta msongo wa mawazo, stress, ukali usio na sababu na kama hayo.

Wanamme matatizo yao makuu matatu ni tofauti ya wanawake.

mhhh......
 
U need spiritual help and psychological help


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu hiyo si hali ya kawaida. Ebu wahi kwa wataalamu wa afya.
 
Tatizo lako ni moja tuu.

Umezoea kujichua mwenyewe, ndio maana unapenda kuwa mtupu chumbani, na it seems unapenda sana kuangalia picha za utupu.

Ukijichuwa sana, lazima upate tatizo la kusahau sahau kwa mujibu wa maelezo ya wanasayansi.

Tafuta bwana ukae nae, umri huo sio wa kukaa peke yako.
Ndio maana huwa nawashangaa sana wadada wasemao kuwa hawapendi kuolewa, eti wanatafuta mtoto afu waishi peke yao

Binadamu sio kisiki cha mti, naye anasikia ile hamu. Sasa ukikaa peke yako atakuridhisha nani kama sio hiyo kujichuwa inayokuharibu? ni nani atakaye kuondolea stress zako?

tafuta bwana wewe, hiyo ndio tiba, nyingine utazunguka tuu ila ukweli ndio huo
 
Back
Top Bottom