Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

1. Kushindwa kuzalisha

2. Kuchapiwa mke hadi kuleta mamluki home

3. Kukosa hela

hahhhahah
ila kama vile 1 na 2 zinashabihiana ya 3 inaweza ungana nazo ila inanguvu ya kusimama yenyewe
 
Hazilingani sana, kuna mwingine analetewa mamluki na hali anaweza kuzalisha. Kuna mwingine hana mamluki na hawezi kuzalisha.

Kasheshe ni hayo matatu yawe juu ya mtu mmoja, ni hatari. Ndo hio unakutana na bosi ananunia hadi komputa yake.

hahhhahah
ila kama vile 1 na 2 zinashabihiana ya 3 inaweza ungana nazo ila inanguvu ya kusimama yenyewe
 
^^
Dalili za ugonjwa wa kujichua hizo. Ikiwemo unapokuwa peke yako, kupenda kuangalia picha za X, kutojiamini, visirani, kuchukia watu wa jinsia tofauti, kukataliwa,, Kujichua huanza kama mzaha, taratibu inakuwa inbuilt in pituitary grand.. Sasa Kujichua kunakuongoza na kukuendesha.
..
Kama kujichua ni tatizo mojawapo ulilonalo, anza taratibu kubadilika. Chukia mambo ya kimwili. Fanya Behavioral Conditioning
^^
boss inafanywa vipi hiyo behavioral conditioning????
 
Kwanza kwa huo umri pia na ktokuwa na mtu wa kuishi nae ndani is really a problem.bt suruhu ipo ndani yako mwenyewe...nenda kwa watalaam wa psychology watakushauri lazima kuna mahali uliteleza,lakini pia inawezekana haukupitia ile hatua ya utotoni ya kushinda uchi,so una compensate au ulizoweshwa kushinda uchi hata stage hio ilivyopita, hivo ikawa tabia..kwa uhakika zaidi waonewatalaam wa psychology
 
Back
Top Bottom