multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 577
We vipi? Kunywa sumu usijinyonge bana.Naomba kujiua una mpz?
sileti mzaha jeki nipo seriousmimi siyo mtaalamu sana, ila hizi ni dalili kabisa za kichaaa, wahi hospital. Japo naona kama unaleta utani maana ulivyowasilisha tatizo lako unaonekana unajua unachokifanya na huna tatizo ulosema, ningejua katika uandishi.
Utakuwaunahitaji dudu tu wewe!Habari waungwana,
Mimi ni mdada am in my 30's. miaka ya hivi karibuni nimekua na tabia ambazo ni za ajabu sana sasa sijui ni nini kimenipata
i)sipendi kuvaa nguo na hivi naishi pekeangu najifungia tu siku za weekend ama nikitoka ofisini najifungia uchi huku
naperuzi mtandaoni ama naangalia tv. napata wakati mgumu nikiwa ofisini hadi nakua mkali sana.
ii)napoteza kumbukumbu kila dakika inayopotea nashindwa kukumbuka vitu vya msingi mpaka nieke reminder, nasahau watu nasahau ahadi nazowapa saa ingine nabisha kabisa kama tulizungumza mwisho naamua kufoka na kuvunja uhusiano ilimradi nisipate kero kutoka kwa binadamu yoyote.
nilikua nakunywa sana pombe lakini nimeacha nahisi inaeza ikawa ni moja ya sababu kubwa ilopelekea kuharibikiwa kwangu. sasa wakuu nawaomba mnishauri niende hospitali ama hii ni nini maanayake.:wacko:
sijawahiushawahi kula NDUMM?
Matatizo matatu yanayosumbua mwanamke.
1. Kukosa uhusiano wa kimapenzi wa kudumu
2. Kukosa wa kumsugua
3. Kukosa mme
Hilo huleta msongo wa mawazo, stress, ukali usio na sababu na kama hayo.
Wanamme matatizo yao makuu matatu ni tofauti ya wanawake.
tatizo likiwepo naona kero nalifukuzaUtakuwaunahitaji dudu tu wewe!
ok i will..You have a serious Problem...wahi hospitali
sina mpenziUna mpenzi?
thank u i will seek both spiritual/psychological helpU need spiritual help and psychological help
Sent from my iPhone using JamiiForums
sio kweliGenye zimekuzidi
sawa nashkuruNdugu hiyo si hali ya kawaida. Ebu wahi kwa wataalamu wa afya.