Nimeanza kuwa na tabia za ajabu

kabla ya kuanza bange hakikisha mie nipo!:A S wink:
 

Mmh mi napita
 
Hilo n jambo la kiroho zaidi, nakushaur n vema uende ktk makanisa yana yo hubir wokovu ukapate ushaur mzur kuhusu matatiznw yako na jinsi ya kuyaondoa
Hiyo ndo njia sahihi. Angalizo, unapokwenda chagua kanisa la mchungaji aliyedhamiria ktk kuchunga kondoo sio waswahil manake kila sector wapo wachakachuaji, au unaeza niandkia pm kw2 maelezo zaidi
 
Amua tu!

Kila kitu kinawezekana, inategemea tu wewe utataka watu wakuhukumu namna gani..

Muone mwanamke mwenzio hapa, yeye kaamua. Wewe je?


Siyo Lala1 kweli...?
 
Last edited by a moderator:

Utakuwa unafanya madambeshen wewe ebu acha kujisigina utagatibikiwa...!
 
ni pm haraka nikupe msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…