Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ndugu kuna kitu kinakusumbua ,inabidi utafute msaada
Habari waungwana,
Mimi ni mdada am in my 30's. miaka ya hivi karibuni nimekua na tabia ambazo ni za ajabu sana sasa sijui ni nini kimenipata
i)sipendi kuvaa nguo na hivi naishi pekeangu najifungia tu siku za weekend ama nikitoka ofisini najifungia uchi huku
naperuzi mtandaoni ama naangalia tv. napata wakati mgumu nikiwa ofisini hadi nakua mkali sana.
ii)napoteza kumbukumbu kila dakika inayopotea nashindwa kukumbuka vitu vya msingi mpaka nieke reminder, nasahau watu nasahau ahadi nazowapa saa ingine nabisha kabisa kama tulizungumza mwisho naamua kufoka na kuvunja uhusiano ilimradi nisipate kero kutoka kwa binadamu yoyote.
nilikua nakunywa sana pombe lakini nimeacha nahisi inaeza ikawa ni moja ya sababu kubwa ilopelekea kuharibikiwa kwangu. sasa wakuu nawaomba mnishauri niende hospitali ama hii ni nini maanayake.:wacko:
wednesday 27/8/2014hahaha haaa haaa... Acha uongo wewe... Leo ni siku gani?
wala sio dusheAnamiss dushe, wewe hujajua tu?
anhaaa ok..kabla ya kuanza bange hakikisha mie nipo!:A S wink:
Amua tu!
Kila kitu kinawezekana, inategemea tu wewe utataka watu wakuhukumu namna gani..
Muone mwanamke mwenzio hapa, yeye kaamua. Wewe je?
![]()
mmmhhhh kaz ipo nahisi ni psychological problem
Habari waungwana,
Mimi ni mdada am in my 30's. miaka ya hivi karibuni nimekua na tabia ambazo ni za ajabu sana sasa sijui ni nini kimenipata
i)sipendi kuvaa nguo na hivi naishi pekeangu najifungia tu siku za weekend ama nikitoka ofisini najifungia uchi huku
naperuzi mtandaoni ama naangalia tv. napata wakati mgumu nikiwa ofisini hadi nakua mkali sana.
ii)napoteza kumbukumbu kila dakika inayopotea nashindwa kukumbuka vitu vya msingi mpaka nieke reminder, nasahau watu nasahau ahadi nazowapa saa ingine nabisha kabisa kama tulizungumza mwisho naamua kufoka na kuvunja uhusiano ilimradi nisipate kero kutoka kwa binadamu yoyote.
nilikua nakunywa sana pombe lakini nimeacha nahisi inaeza ikawa ni moja ya sababu kubwa ilopelekea kuharibikiwa kwangu. sasa wakuu nawaomba mnishauri niende hospitali ama hii ni nini maanayake.:wacko:
huyu ni mtu mpya hapa??
wala sio dushe
ni pm haraka nikupe msaada.Habari waungwana,
Mimi ni mdada am in my 30's. miaka ya hivi karibuni nimekua na tabia ambazo ni za ajabu sana sasa sijui ni nini kimenipata
i)sipendi kuvaa nguo na hivi naishi pekeangu najifungia tu siku za weekend ama nikitoka ofisini najifungia uchi huku
naperuzi mtandaoni ama naangalia tv. napata wakati mgumu nikiwa ofisini hadi nakua mkali sana.
ii)napoteza kumbukumbu kila dakika inayopotea nashindwa kukumbuka vitu vya msingi mpaka nieke reminder, nasahau watu nasahau ahadi nazowapa saa ingine nabisha kabisa kama tulizungumza mwisho naamua kufoka na kuvunja uhusiano ilimradi nisipate kero kutoka kwa binadamu yoyote.
nilikua nakunywa sana pombe lakini nimeacha nahisi inaeza ikawa ni moja ya sababu kubwa ilopelekea kuharibikiwa kwangu. sasa wakuu nawaomba mnishauri niende hospitali ama hii ni nini maanayake.:wacko:
anhaaa ok..
Una mpenzi?
Siyo Lala1 kweli...?
ana upepo wa kuwa huyu? this is amber rose.. not lara 1.
haya jiue bac..2one..Naomba kujiua una mpz?