Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,106
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
 
Mkuu.@KICHWANI ZERO kama vile jina lako lilivyo na Thread yako jinsi ilivyo hakuna tofauti kitu cha kufanya kama ulionja tunda la mama

Mkwe wako jaribu usirudie tena utakuja haribu ndoa yako na iweje wewe Mke wako afanye kazi na wewe unakaa nyumbani? Kulikoni mkuu

kichwa Zero? Mkalie mbali huyo Mama Mkwe wako hana Mume kwani? Mpaka anakutega wewe? huna Rafiki yako ukampa huyo Mama

Mkwe wako awe mpenzi wake? Ulichofanya hata mimi kweli sikupendelea kabisa jaribu kutubu makosa yako kwa Mungu na usirudie kitendo

ulichofanya ni kichafu sana ninakuusia usirudie tena shauri yako utaangamia kweli .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…