Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Hongera sana mkuu. Umefanya kitendo cha kishujaa. Unataka tukushauri kuwa ukatae kuendelwa kulala na mkweo? Hapana bwana, endelea tu. Sharing is caring.

Hahahahahahaha. Nyagi @ work. King'asti nimekumiss
 
Last edited by a moderator:
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Vipi akija na dada yake mama mkwe naye utabandua? Vipi akijirengesha mdogo wa mke naye utakwanyua? Acha ujinga, ishia hiyo hiyo mara moja.... Yaani wewe uwezo wako wa kuji-control anao anayekutega?
 
Andika kiswahili tunaelewa vizuri zaidi..
Sawa mkuu. Ila huyu mama mkwe kwa kweli amenisumbua kwa muda mrefu hadi kapelekea nimshughulikie! Majaribu yamenishinda hasa ukizingatia na huyu mama mkwe si mkubwa sana kiumri na bado ana afya njema.
 
No wonder nchi hii kila siku matatizo tu,imejaa laana tupu kila kona
 
Mkuu hii hali sijaipenda ila amekuwa akinitega kwa muda mrefu sasa. Mungu anisamehe tu kwa hili.
Mkuu.@KICHWANI ZERO Kwani wewe huna Rafiki yako wa karibu ukampa huyu Mkware Mama Mkwe wako? Laiti ningelikuwa mimi karibu ningelikuokowa na ndoa yako huyo Mama mkwe

wako anataka kuharibu ndoa yako kama unampenda Mke wako na ndoa yako Tafadhali usirudie tena kumla

huyu Mama Mkwe wako la kama huipendi ndoa yako idumu endelea kumla Mama Mkwe wako utaona faida yake mwisho shauri yako. Waswahili wamesema kila mkataa Pazuri Pabaya panamuita kazi kwako................... Endelea kufanya huo Uchafu utavuna kile ulichopanda.


 
Mkuu hii hali sijaipenda ila amekuwa akinitega kwa muda mrefu sasa. Mungu anisamehe tu kwa hili.

Sasa Mkuu hapa unataka usamahewe nini wakati ushakula?!,lakini sipendi nikulaumu kwa ababu kama mama mkwe alikubali kukumpa mwanaye ukala,halafu na yeye amejileta umemla,hii ni heshima kwako sana mkuu wangu endelea lakini usikombe mboga.
 
I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.


SHE STILL WANT IT MAN............labda ungeuliza "way backward".

Pole nyingi kwa mkeo kwa kuolewa na kimeo kama wewe......laana uliyoipandikiza itaendelea hata kwa wanao....

Hivi kweli Imani za watu zimeenda wapi?......Makanisani na misikitini tunaenda kutalii au?........Mbona tunamchezea Mungu kiasi hiki jamani............imeniuma hii,labda huyo mama hajamzaa mkeo.....mbona hana uchungu na ndoa yake???

EE MUNGU TUNUSURU SISI WAJA WAKO!
 
Sawa mkuu. Ila huyu mama mkwe kwa kweli amenisumbua kwa muda mrefu hadi kapelekea nimshughulikie! Majaribu yamenishinda hasa ukizingatia na huyu mama mkwe si mkubwa sana kiumri na bado ana afya njema.

Dogo 0713....anatumia? Nataka nikupige tafu kwa njia njema
 
kumbe tunajadiliana na kitoto cha shule! hii lugha broken ni dalili tosha ya kiwango cha umri na uelewa wako!!
~i have given "him" what she deserves to get~...??
Lugha sio issue mkuu. Nipe namna bora ya kuondokana na hii hali.
 
Sawa mkuu. Ila huyu mama mkwe kwa kweli amenisumbua kwa muda mrefu hadi kapelekea nimshughulikie! Majaribu yamenishinda hasa ukizingatia na huyu mama mkwe si mkubwa sana kiumri na bado ana afya njema.
Ana afya njema umempima? Vipi kama kapata mimba? Maana uwezekano wa kuwa ulitumia kinga ni mdogo sana kwenye mazingira hayo.
 
SHE STILL WANT IT MAN............labda ungeuliza "way backward".

Pole nyingi kwa mkeo kwa kuolewa na kimeo kama wewe......laana uliyoipandikiza itaendelea hata kwa wanao....

Hivi kweli Imani za watu zimeenda wapi?......Makanisani na misikitini tunaenda kutalii au?........Mbona tunamchezea Mungu kiasi hiki jamani............imeniuma hii,labda huyo mama hajamzaa mkeo.....mbona hana uchungu na ndoa yake???

EE MUNGU TUNUSURU SISI WAJA WAKO!
Nimetenda dhambi ambayo sikuwahi kufikiria kuitenda ila majaribu yamenilazimu.
 
Mkuu.@KICHWANI ZERO Kwani wewe huna Rafiki yako wa karibu ukampa huyu Mkware Mama Mkwe wako? Laiti ningelikuwa mimi karibu ningelikuokowa na ndoa yako huyo Mama mkwe

wako anataka kuharibu ndoa yako kama unampenda Mke wako na ndoa yako Tafadhali usirudie tena kumla

huyu Mama Mkwe wako la kama huipendi ndoa yako idumu endelea kumla Mama Mkwe wako utaona faida yake mwisho shauri yako. Waswahili wamesema kila mkataa Pazuri Pabaya panamuita kazi kwako................... Endelea kufanya huo Uchafu utavuna kile ulichopanda.



Lakini MziziMkavu
Mimi nadhani huyu ni kamanda cha msingi unaweza kumsaidia kama nilivyokuomba ingawa hujatoa jibu,lakini ni pale tu atakapokubali na kukuruhusu vinginevyo aendelee kula mwenyewe kwa sababu anaonekana anaipenda the way anavyojiteta humu Jamvini.
 
Back
Top Bottom