Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Mkuu.@KICHWANI ZERO kama vile jina lako lilivyo na Thread yako jinsi ilivyo hakuna tofauti kitu cha kufanya kama ulionja tunda la mama mkwe wako jaribu usirudie tena utakuja haribu ndoa yako na iweje wewe mke wako afanye kazi na wewe unakaa nyumbani? Kulikoni mkuu kichwa Zero? Mkalie mbali huyo mama mkwe wako hana mume kwani? mpaka anakutega wewe? huna Rafiki yako ukampa huyo mama mkwe wako awe mpenzi wake? Ulichofanya hata mimi kweli sikupendelea kabisa jaribu kutubu makosa yako kwa Mungu na usirudie kitendo ulichofanya ni kichafu sana ninakusia usirudie tena shauri yako.

Na hapa mkuu MziziMkavu nadhani unafaa kupewa jukumu hili,lakini na wewe mkeo asijue ili tumuokoe KICHWANI ZIRO na lana hii!!!!!!!
 
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

did U Really Think Of This Before Bringing it here?
 
Sio laana mkuu. Majaribu yake yamenishinda!

Yeah...kwanza laana ni subjective...laana kwangu..halali kwa mwingine...ila hili la kutembea na mama mkwe halina ubishi ni la hovyo kwa waamini na wasioamini...you better stop it.
 
Jamani hapa duniani kuna watu wanao fanya mambo ya ajabu sana ndio maana wanavunja record ya dunia. Huyu jamaa kwa maneno yake hahitaji msaada kwani hata siku ingine huyo mama wa mke wake akitaka jamaa hawezi achia atakubali. KICHWANI ZERO angalia ukute mzee anakula mkeo.
 
Last edited by a moderator:
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

Umekunywa sumu, unaomba msaada, mmh! sijui labda dada Lara 1 aje au Mtambuzi anajua sn kuelezea topics kama hizi,
Lkn ujuwe ss mke wako atakuwa huyomama mkwe wako, kwani wanajisikiaga sn wivu ukiongea na mwanawe, hata mm ylinikuta lkn mwanae alikuwa Gf wangu alipoona natembea na mwanawe, akaanza kutafuta namna yakunipata, mwisho lahaula kwata. lkn hata hivyo nikaamua kukimbia lkn ww mmh! hutoki hapo labda umwambie tu mmpaka umwite asije leta kasheshe, au akija tu anza ukikaa nakwambia siri ni mmoja lkn wawili kitanuka kabisa mwache kabisa au mwambie mkeo ili ajue mamaanataka kuvunja nyumba yenu, lkn ukikawia akajua nakuambia utaomba ardhi ifunguke ukimbie.
 
Sema wewe ulitaka iwe hivyo. Kwa nini kama ulijua anakutega usimwambie live kuwa hutaki mchezo mchafu na kumwambia kama akiendelea ungalimwambia binti yake? Inawezekana ninyi nyote mkweo na wewe wote hamnazo. Hatuwezi kujua makabila mengine sharti mama mkwe aonje na mengine baba mkwe sharti pia alambe. Ukishangaa ya Musa utaona ya Filauni.
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
 
Mkuu.@KICHWANI ZERO kama vile jina lako lilivyo na Thread yako jinsi ilivyo hakuna tofauti kitu cha kufanya kama ulionja tunda la mama

Mkwe wako jaribu usirudie tena utakuja haribu ndoa yako na iweje wewe Mke wako afanye kazi na wewe unakaa nyumbani? Kulikoni mkuu

kichwa Zero? Mkalie mbali huyo Mama Mkwe wako hana Mume kwani? Mpaka anakutega wewe? huna Rafiki yako ukampa huyo Mama

Mkwe wako awe mpenzi wake? Ulichofanya hata mimi kweli sikupendelea kabisa jaribu kutubu makosa yako kwa Mungu na usirudie kitendo

ulichofanya ni kichafu sana ninakuusia usirudie tena shauri yako utaangamia kweli .
Mkuu hii hali sijaipenda ila amekuwa akinitega kwa muda mrefu sasa. Mungu anisamehe tu kwa hili.
 
Na hapa mkuu MziziMkavu nadhani unafaa kupewa jukumu hili,lakini na wewe mkeo asijue ili tumuokoe KICHWANI ZIRO na lana hii!!!!!!!
Mkuu WABHEJASANA Ana bahati huyo Mmama Mkwe niko

mbali tu ningelikuwa mimi karibu na Mkuu KICHWANI ZEROningemlichukuwa mama huyo mkwe maana mama mke huyo ana

nyege ningelimtoa nyege zake Mama Mkwe ni mkware sana anathubutu kumpa Mkwe wako tunda ?Ahhhh Dunia yetu hii

imekwisha na wewe KICHWANI ZERO ni Shetani una ufunuwa utupu wa Mama Mkwe wako ni sawa sawa na

kuufunuwa utpu wa mama yako Astaghfirullah mkuu
KICHWANI ZERO tubu haraka sana ikiwa wewe ni mkristo

nenda kanisani upesi ikiwa wewe ni muislam nenda Msikitini upesi ukatubu madhambi yako kabla ya

kuangamizwa.
 
hahah wee noma kuku na kifaranga chake umegegeda lol. yupi mtamu zaidi? wee endelea kumgegeda tuu huyo mkwe kwa raha zako sii bupa kaileta mwenyewe.
 
Back
Top Bottom