Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Ana afya njema umempima? Vipi kama kapata mimba? Maana uwezekano wa kuwa ulitumia kinga ni mdogo sana kwenye mazingira hayo.

Mkuu wa mazingira ya maelezo haya hakuna kinga yoyote iliyotumika hapa,inaonekana ilikuwa ni chapa ilale,kwanza ilikuwa lazima iwe haraka kwa hofu ya kufumaniwa na mwenye mali(mke),lakini pili ilikuwa ni siku ya kwanza kwa vyovyote vile ilikuwa lazima iwe haraka halafu ni imagine ni kwenye kochi,kwa hiyo ni kwamba hata suruali ilishushwa usawa wa magoti,na mama naye akasuuza tu ile kitu ya ndani kazi ikamaliziwa hapo 2 minutes!
 
Njia pekee hapa ni kumuhadithia mkeo na kumuomba msamaha.. Hata ukiachika utaishi maisha ya amani maana hapatakuwa na ciri tena itakayokuwa inakusmbua..

Unfortunately unaonyesha kutojutia hilo ulilolifanya.. Kwa hiyo huko tayari kumuambia ukweli wife wako.. I feel sorry kwa mke wako na mtoto.. They don't deserve having u as head of their family.. Coz u'r a liar & cheater big time..
 
Kwa hiyo Mama yako aliyekutoa ukeni akikuonyesha mapaja yake utamshughulikia?

huyu atakuwa hakutokea ukeni, msamehe bure. Product ya backdoor hii. I hope mkewe atavutiwa na babake mzazi.
 
kama zilizidi si ungeenda kuzipunguzia bafuni umsubiri mkeo arudi hukuona hata haya kweli ukiyastaajabu ya musa .....
 
Sawa mkuu. Ila huyu mama mkwe kwa kweli amenisumbua kwa muda mrefu hadi kapelekea nimshughulikie! Majaribu yamenishinda hasa ukizingatia na huyu mama mkwe si mkubwa sana kiumri na bado ana afya njema.

ULIMPIMA...................???yani bado mnatizama kwa macho na kupata VVU results eeh??
 
mila gani inakuruhusu kukaa mbele ya mama mkwe, na ulikuwa unatafuta nini kukaa karibu/pembeni mwa mama mkwe wako.
Shetani anakutumia kichwani hiyo ni jinai wahi mfungulie kesi ya ubakaji dhidi ya binti yake, labda utapona.
Ila kichwani ni sufuri.
 
Mkuu WABHEJASANA Ana bahati huyo Mmama Mkwe niko

mbali tu ningelikuwa mimi karibu na Mkuu KICHWANI ZEROningemlichukuwa mama huyo mkwe maana mama mke huyo ana

nyege ningelimtoa nyege zake Mama Mkwe ni mkware sana anathubutu kumpa Mkwe wako tunda ?Ahhhh Dunia yetu hii

imekwisha na wewe KICHWANI ZERO ni Shetani una ufunuwa utupu wa Mama Mkwe wako ni sawa sawa na

kuufunuwa utpu wa mama yako Astaghfirullah mkuu
KICHWANI ZERO tubu haraka sana ikiwa wewe ni mkristo

nenda kanisani upesi ikiwa wewe ni muislam nenda Msikitini upesi ukatubu madhambi yako kabla ya

kuangamizwa.

Ndiyo maana mimi katika hili sitaki kumlaumu KICHWANI ZIRO kwa sababu mama mkwe anonekana amemlaimisha kabisa kufanya hivyo unajua ile kitu na yenyewe wakati mwingine inapagawisha na hasa ukishaiona,ndiyo maana nimekuomba lakini sasa kma uko mbali sijui itakuwaje,lakini Mkuu na wewe unatisha yani kwa maelezo yako haya kama ungekuwa karibu nadhani huyo mama angeliipata fresh!!!!!!!!
 
Njia pekee hapa ni kumuhadithia mkeo na kumuomba msamaha.. Hata ukiachika utaishi maisha ya amani maana hapatakuwa na ciri tena itakayokuwa inakusmbua..

Unfortunately unaonyesha kutojutia hilo ulilolifanya.. Kwa hiyo huko tayari kumuambia ukweli wife wako.. I feel sorry kwa mke wako na mtoto.. They don't deserve having u as head of their family.. Coz u'r a liar & cheater big time..
Mkuu umeanza kwa kunipa maneno ya busara halafu mwishoni umeharibu.
 
mila gani inakuruhusu kukaa mbele ya mama mkwe, na ulikuwa unatafuta nini kukaa karibu/pembeni mwa mama mkwe wako.
Shetani anakutumia kichwani hiyo ni jinai wahi mfungulie kesi ya ubakaji dhidi ya binti yake, labda utapona.
Ila kichwani ni sufuri.
Mila ? ? Yaani bado unazungumzia mila hadi kipindi hiki!
 
Mkuu umeanza kwa kunipa maneno ya busara halafu mwishoni umeharibu.

Lakini mkuu mbona unaonekana kulalmika sana???!!,kam imekukolea we endelea kula hiyo kitu kwa sababu naona imeshakuchanganya na hutaki kusikia neno la kusaidiwa hapa?!
 
Back
Top Bottom