Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

KICHWANI ZERO wala sipati tabu kukupa ushauri maana najua si kweli
 
Last edited by a moderator:
jehanamu ya moto inakungoja kaka. No compromise bro. Jiandane.. Imagine ungekuwa wewe ndio unayeamua nani aende jehanamu na nani asiende.
 
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

Blaki Womani kati ya huyu na Kijiji Balaa yupi kamzidi mwenzie kwa ujinga????

Kweli ID yako inasadifu ujinga ulionao kichwani.
 
Last edited by a moderator:
kumbe tunajadiliana na kitoto cha shule! hii lugha broken ni dalili tosha ya kiwango cha umri na uelewa wako!!
~i have given "him" what she deserves to get~...??

" Given him"huyo mama mkwe ni he ?are you gay or what .mama mkwe ni she sio he .umelala na baba mkwe
 
duh kweli mwisho wa dunia ni kesho kutwa, halafu babako mkwe si ynakumbuka alikufa kwa ngoma?
 
uko sawa kaka kwani jina lako linakuruhusu kufanya chochote binadamu asichoweza
 
jamani ewe mwanaume unatambua kweli mungu yuko?kweli hiyo kitu yako inasimama kabisa mbele ya k ya mama mkwe wako?!!kweli mwisho wa dunia umefika!ndoa ina mwaka tu,ushakula mama mkwe,je wanao wakuwazaa wakikua watasalimika kweli?
 
Wengine wanasema jina la mtu linaweza sadifu kila kitu chake!
Kichwani zero na mimi sipingi kama ni hivyo!

Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
 
Lakini MziziMkavu
Mimi nadhani huyu ni kamanda cha msingi unaweza kumsaidia kama nilivyokuomba ingawa hujatoa jibu,lakini ni pale tu atakapokubali na kukuruhusu vinginevyo aendelee kula mwenyewe kwa sababu anaonekana anaipenda the way anavyojiteta humu Jamvini.
Mkuu WABHEJASANA Nimesha mpa mawzo y kila aina ni namna gani aweze kufanya ili aweze kuiokowa ndowa yake lakini inaonyesha huyu KICHWANI ZERO amekuwa ana mla huyo Mama Mkwe siku nyingi tu ila leo kaamuwa kutaka kuwasikiliza Watu Je watamuunga mkono au kumpinga tumuachie akamuwe maziwa yake.Atavuna kile alichokipanda shauri yake mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom