Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Hapa itapendeza sana mkifanya ka foursome hivi:
Wewe, ma'mkwe, mkeo na baba'ko. Raha kweli!
 
Hahahaha wewe kweli #Kichwani Zero, sema tu ulikua na ugumu wako asa tangu lini ukamtolea mate mama mkwe wako. Na usijaribu kusema unampenda mkeo we ni muongo na muuaji.
 
unajua chozi limedondokea key board kwa upuuzi wako ulioufanya............samahani hvi hata mama ako mzazi unaweza kumla?
 
kumbe tunajadiliana na kitoto cha shule! hii lugha broken ni dalili tosha ya kiwango cha umri na uelewa wako!!
~i have given "him" what she deserves to get~...??

loh hata mimi nmekurupuka nimemjibu mjinga huyu
 
Hapa itapendeza sana mkifanya ka foursome hivi:
Wewe, ma'mkwe, mkeo na baba'ko. Raha kweli!
mpwa, karibia tunakuondoa jf, for good. Im just saying, hii waachie akina cacico.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu WABHEJASANA Nimesha mpa mawzo y kila aina ni namna gani aweze kufanya ili aweze kuiokowa ndowa yake lakini inaonyesha huyu KICHWANI ZERO amekuwa ana mla huyo Mama Mkwe siku nyingi tu ila leo kaamuwa kutaka kuwasikiliza Watu Je watamuunga mkono au kumpinga tumuachie akamuwe maziwa yake.Atavuna kile alichokipanda shauri yake mwenyewe.
Mkuu nimeanza kutembea naye jana na nimefanya naye mapenzi mara moja tu. Ila anataka tuendelee kufanya hivyo. Mimi sipo radhi tena kuuendeleza huu mchezo na yeye.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimeanza kutembea naye jana na nimefanya naye mapenzi mara moja tu. Ila anataka tuendelee kufanya hivyo. Mimi sipo radhi tena kuuendeleza huu mchezo na yeye.

Sasa umeanza kuwa kijana mzuri na muelewa,lakini kuwa makini kwa sababu kama ulimkuna vizuri lazima atataka tena,lakini ukikata jiandae pia kuchongewa ama ka mkeo,au kwa baba mkwe kwamba unamuomba k.......,ujiandae kwa hilo pia mkuu!!!!
 
Mkuu nimeanza kutembea naye jana na nimefanya naye mapenzi mara moja tu. Ila anataka tuendelee kufanya hivyo. Mimi sipo radhi tena kuuendeleza huu mchezo na yeye.
Mkuu.@KICHWANI ZERO Uwe upo Serious kwa ushauri wangu kama unaye Rafiki unaye muamini jaribu kumzungumzia hiyo habari kisha umpe

huyo mama awe mpenzi wake siku akitaka kuja kwako mpange na huyo rafiki yako kisha akifika kwako huyo Mama Mkwe wako muite upesi

rafiki yako kisha uwakutanishe wewe uwaache Sitting room wewe nenda chumbani wataongea vya kutosha umfahamishe

Mama Mkwe wako kuwa huyo ni Rafiki yako mpenzi wazungumze tu bila ya wasiwasi unasemaje unawezakufanya hivyo ili uokowe ndoa yako? Unasemaje utaweza kufanya hivyo kama wewe kweli ni mwanamme?
 
ulipiga ile kitu ya siku ya gulio?.....kate/l/e/lol. maana atarudi daily,
 
Yani siku hizi watu wamekuwa wanyama
Mkuu Saint Ivuga Binadamu tumekuwa ni wanyama hakuna tofauti kabisa.Labda Tofauti yetu an Wanyama ni mikia tu ndio hatuna lakini akili zetu na wanyama zipo sawa kabisa ndio maana Maradhi yamekuwa mengi unaomba dua haipandi kabisa mbinguni machafu yamezidi kupita kiasi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@KICHWANI ZERO Uwe upo Serious kwa ushauri wangu kama unaye Rafiki unaye muamini jaribu kumzungumzia hiyo habari kisha umpe

huyo mama awe mpenzi wake siku akitaka kuja kwako mpange na huyo rafiki yako kisha akifika kwako huyo Mama Mkwe wako muite upesi

rafiki yako kisha uwakutanishe wewe uwaache Sitting room wewe nenda chumbani wataongea vya kutosha umfahamishe

Mama Mkwe wako kuwa huyo ni Rafiki yako mpenzi wazungumze tu bila ya wasiwasi unasemaje unawezakufanya hivyo ili uokowe ndoa yako? Unasemaje utaweza kufanya hivyo kama wewe kweli ni mwanamme?
Nimekuelewa mkuu. Ngoja nifanye kama ulivyosema hapa nione kama ita-work.
 
Sio laana mkuu. Majaribu yake yamenishinda!
Siku hizi mabibo hostel mnakaa na wake zenu? Kuna nyumba za wanafunzi mliio oa? maana kuna thread kuhusu BOOM kutoka kwa wanafunzi wa UDSM nimekuona KICHWANI ZERO ukijisifu kuwa juzi umekesha bar fulani na ukapoteza network na kuna baadhi umewajibu kuwa hawakuwezi kwa masom na mademu na kuwa GPA yako iko juu sana,,, mara hii umeoa na umekula mama mkwe? :confused2:
 
Back
Top Bottom