Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

dhambi nyinhine mnazofanya inawezekana hata shetani anawashangaa.........


Laana gani hiyo wewe na mkweo ilowajaa.......

Hovyo kabisa.......

Wanawake hii mijanaume inayotangazaga ndoa mmewachunguza?

Nadhani itafika kipindi sasa swala si kwenda kupima ukimwi tu, bali wapimwe akili pia

watu mso na haya wala mshipa wa aibu maibilisi
 
dhambi nyinhine mnazofanya inawezekana hata shetani anawashangaa.........


Laana gani hiyo wewe na mkweo ilowajaa.......

Hovyo kabisa.......

Wanawake hii mijanaume inayotangazaga ndoa mmewachunguza?

Nadhani itafika kipindi sasa swala si kwenda kupima ukimwi tu, bali wapimwe akili pia

watu mso na haya wala mshipa wa aibu maibilisi
Mkuu kunilaumu pekee hakutoshi. Ni vyema kama ungenipa busara zako katika hili suala.
 
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

Wewe mara upo UDSM unasema jana ulikuwa ukifurahia boom na malaya zambez mara umeoa hueleweki mkuu!!
 
mi nahisi umegeuza stori!wewe ndo utakuwa umetafunwa na bamkwe wako!mana mkeo anaenda kazini we unashinda ndani,utakuwa umeolewa na familia ya mkeo ndo inayokulisha!bamkwe kaona ungese,mwanae ummegee bdo awalishe pia,kaomba 065...ukashndwa mnyima!pole kijana ndo faida za umariyoo huo!
 
Kinachofuata utatuambia umezini na mama yako mzazi maana inaonekana wewe ni mtovu wa nidhamu kupita kiasi. mkeo asilete mdogo wake hapo kwani kama umempandia mama mkwe nani atasalimika hapo. Housegirl ndo kabisa asiajiriwe hapo ndani.:A S-baby: Mjinga wewe.
 
nina mashaka na kuoa kwako ilhali unaishi kwa kutegemea boom
Comments zangu za kwenye ile story ya boom chit chat hazina ukweli. Nilikuwa nachat tu huko. Hii hapa ni true story imenitokea. Usichanganye habari hapa.
 
Invisible naomba nitukane mtu! niruhusu japo kwa kugongea like tu!naweza nikapasuka nisipotukana jamani!
Matusi hayana nafasi hapa. Kama huna la kuchangia ni bora ukakaa kimya tu au usome comments za wenzako.
 
Last edited by a moderator:
kweli hii ni tamthilia.hizo hisia ulizipataje mpaka abdala kichwa wazi kufanyakazi yake ya upakuzi?vipi munaitanaje mupenz au sipati picha.kweli hii nilaana.nahsi mutakua nikabila flani lenye herufi R
 
seriously,mi nakupa ofa!nitakugharamia kila kitu hadi mombasa.naona ushaonja kale kamchezo na nahc unanogewa!c vby ikawa ajira kwako badala ya kukaa tu home wakt 'wife' anaenda job!
 
Back
Top Bottom