Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Huyo ni mama wa kisasa sio mzee bado analipa. Komandoo zero.
 
Du, kichwani zero! Picha nimeipata ya Kuwa hata wewe unaappreciate ya Kuwa we nihamnazo! Na huyo mwenye Sura kwenye avatar yako ataku sue kwa kutumia Sura yake na hilo jina lako sambamba na sredi yako!
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kiufupi hufai,wewe Si wa kawaida ,Hilo ulilofanya kwa mama Mkwe Kuna mengine ulishafanya Ambayo tukiyafahamu hapa jf tutazimia,una laana wewe ,mrudie Mungu atakuongoza
 
Unataka ushauri gani wakati umeishamtafuna mama mkwe ningekuwa nakufahamu ningemwambia mke wako.
 
Thread nzima ni STORY ya kutunga...Nadhani jamaa alitaka 'KUTOKA'....na i guess IMEMTOA!!..Chit Chat anasomeka kama mtoto wa chuo...Nadhani JF sasa hivi ni katrend tu...mara 'nimetembea na housegirl'...'mara nimetembea na shemeji'...sasaivi ni mamawakwe!!..Tusubiri tu atakuja na mwingine!!!
 
aaaeee kichwa kinaumaa!! duh tulioa vijana ndoa zetu zinachangamoto nyingi. mwana achana nae anapepo huyo bi mdash
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

Nina ushauri mya na tena murua, hebu mtafute mwanamke yeyote humu ndani akamsage huyo mama mkwe wako na wewe check na Boflo mkubaliane mfanye nini
 
Jiulize mkeo akitiana na baba yako how would you feel?!! lakini pia umesema kichwani kwako ni sifuri sikushangai sana...
 
Bahati nzuri mama mkwe wangu havutiii haataaa, so laana zingine kama hizi automatically nimeziepuka...
 
Hujauambia ulimhonga shilingi ngapi? alikupima akagundua huna utamaduni wa kuwasaidia wakwe/wazazi zako hadi upewe mzigo.
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

We si ulishafanya maamuzi au unataka kupima watu hapa?
 
NimeNote vitu vi2 tu wewe Zero Head::
1.Promo Only::Unataka kujisifu kwamba unajua mapenzi ili mabinti wa JF ambao hawajawahi kufurahia mapenzi uwaingize king!!
2.Una Practise Ushigongo hyo story yako haina uhalisia hata nucta! Imeleta maswali mengi kuliko majibu na mie sio polisi kukuuliza maswali yote!!
 
Iko wapi imani yako??

Umejaribiwa mara mbili na kuingia dhambini uh!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Unadai ma mkwe bado ni mdogo ki umri, suppose anatunga mimba kutokana na wewe kujamiiana naye bila kinga (mazingira yanaonyesha hivyo); je mtoto atakayezaliwa atamwitaje ma mkwe wako?
 
Back
Top Bottom