Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

KICHWANI ZERO

Wewe endelea tu na zoezi lako kwani bila shaka majibu utapata! Kwanza angalia jina lako KICHWANI ZERO; Mi naona kama umetunga hii lakini kama ni kweli umefanya haya ni kwamba una laana toka kwa wazazi wako!
 
Last edited by a moderator:
NimeNote vitu vi2 tu wewe Zero Head::
1.Promo Only::Unataka kujisifu kwamba unajua mapenzi ili mabinti wa JF ambao hawajawahi kufurahia mapenzi uwaingize king!!
2.Una Practise Ushigongo hyo story yako haina uhalisia hata nucta! Imeleta maswali mengi kuliko majibu na mie sio polisi kukuuliza maswali yote!!
Ni mkasa wa kweli mkuu. Sitafuti cheap popularity hapa. Wala sina shida na mabinti wa hapa JF.
 
NIMEPENDA AVATOR uliyotumia ndio mwake, hiyo jamaa kweli ZERO, hongera, ongea na mkeo amwondoe mama ake humo ndani. akikuuliza kwa nini, msisitize tu, jipange ukae mbali na hata mamako mzazi, usihoji kwa nini, kaa mbali na wazazi wote, wakwako na wa mkeo.

mimi siongei na mkwe wangu, hata kesho kwa sababu tofauti, ni maisha tu mkuu usiogope chukua hatua kuwa mbali, urejeshe normal respect taratibu.
 
Ahsante mkuu kwa ushauri huu. Hawa mama wakwe wana matatizo sana.
 
Mbona kama umetunga tu hii?, huyo mama mkwe yeye hana kwake mpaka awe anakuja mara kwa mara? Inakuwaje kila anapokuja anakukuta wewe tu hapo nyumbani? Mi naamin mtakuwa na mfanyakazi wa ndani na yeye kipindi mnafanya hayo hakuwepo? Its fallacy

Fallacy maana yake jamaa ni falla mkubwa si ndio?
 
Watu wanapenda kuanzisha league za ajabu,maana hiyo ni story ya kutunga tu,mama mkwe hana shughuli ya kufanya na wewe huna shughuli pia kila siku mnakutana hapo home ?....
 
Hutaki unaacha. Ila fahamu ya kwamba hii ni true story.
 
Sema mkeo anakupenda na SIO eti mnapendana ptuuuuuuuuu,ungekua unampenda usingemfanyia uchafu kama huo imagine unasikia Mkeo amezini na BABA yako utajisikiaje....wewe ni mmoja wa watu ambao mtafanya sodoma na gomora ije haraka sana...na ni mchafu kupitilizaaaaaaaa ptuuuuuu....
 
shetani huyo!! Ndoa haipo tena na mkeo! Na wala humpendi kwa dhati!!! na wee si muungwana wkaani akijilengesha ndo umshughulikie? maana sasa mahusiano na binti yake yamebadilika na ipo siku yatakohoa!! hiyo aibu utaipeleleka wapi? Ama kweli nyakati za mwisho usirudie tena na mwambie aondoke shida atapaka kwa mkeo!! UMENASA!!
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
 
Wewe ni mtu hatari sana. Utakuja kumbandua hadi mamako wewe hiyo ni laana.
 
Kichwanisifuri pole sana ,naona wadau wengi wamekuandama sana,binafsi sioni ajabu sana katika hili vinginevyo wahenga wasingesema 'MKWE MKWEE'.
 
sema mkeo anakupenda na sio eti mnapendana ptuuuuuuuuu,ungekua unampenda usingemfanyia uchafu kama huo imagine unasikia mkeo amezini na baba yako utajisikiaje....wewe ni mmoja wa watu ambao mtafanya sodoma na gomora ije haraka sana...na ni mchafu kupitilizaaaaaaaa ptuuuuuu....

mkoa mmoja kaskazini mwa tanzania mbona hili jambo la kawaida tu?
 
Wewe ni mtu hatari sana. Utakuja kumbandua hadi mamako wewe hiyo ni laana.

not necessary,mama mkwe na mamako mzazi vitu viwili tofauti kabisa,you are not blood related na ma mkwe,acheni hizo.
 
shetani huyo!! Ndoa haipo tena na mkeo! Na wala humpendi kwa dhati!!! na wee si muungwana wkaani akijilengesha ndo umshughulikie? maana sasa mahusiano na binti yake yamebadilika na ipo siku yatakohoa!! hiyo aibu utaipeleleka wapi? Ama kweli nyakati za mwisho usirudie tena na mwambie aondoke shida atapaka kwa mkeo!! UMENASA!!
shusha munkari mkuu,hajambaka ma mkwe,walikubaliana.
btw nafahamu wanawake wengi wanaoshea na mabinti zao,either kwa siri au kwa kujuana,wengi tu.
 
We na mama mkwe wako ndiyo shetani wenyewe. Wazungu husema the devil incarnate. Huna hata aibu! Kisayansi ya jamii tunawita nyinyi Psychopaths au sociopaths. Tatizo si mkweo bali nawe ni tatizo kubwa. Kwani ungemshitaki kwa binti yake nini kingeharibika. Kwa ufupi ni kwamba umetembea na mama yako mzazi. Sipati hata picha maana hata mbwa na panya wenye uchu wa mapenzi hawawezi kufanya hivyo. Mie nashauri umuache mkeo umuoe huyo mama mkwe au ujinyonge na uache ujumbe kwanini umefanya hivyo. Ni mara moja jijini Dar maeneo ya Keko Mwanga nilipata stori kuwa mama wa kichaga aliamua kumpindua binti yake sikuamini hadi nilipomuona. Uzuri ni kwamba hili lilipotokea mtoto aliyekuwa amezaliwa na binti yake alijifia. Mara ya pili nilipata taarifa za binti wa kichaga kutembea na babake mdogo na nilipomuona nilitaka kutapika. Acheni jamani uchafu huu ni laana kwa dunia.

Umemshauri vizuri san lakini mkuu umeingia chaka kwa kitendochako cha kumwambia ajiue kisha aache ujumbe.

Hoja sahihi ni hii, ni kweli kafanya dhambi mbele za Mungu jambo ambao ni chukizo.

Atubu kwa Mola wake na kuacha upuuzi wake kwa kumananisha huenda akasamehewa maana Mwenyezimungu ni mwingi wa Rehma hali kadhalika ni mkali wa kuadhibu.
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

Username yako inajustify unachosema.
 
Back
Top Bottom