Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

ili ku22nzia heshima wanaume wenzio na mkeo nakushauri JINYONGE ili wapuuzi wapungue tz
 
ptuu :yuck: :yuck: :evil::evil:. atleast ID yako iko sahihi
 
Siku hizi mabibo hostel mnakaa na wake zenu? Kuna nyumba za wanafunzi mliio oa? maana kuna thread kuhusu BOOM kutoka kwa wanafunzi wa UDSM nimekuona KICHWANI ZERO ukijisifu kuwa juzi umekesha bar fulani na ukapoteza network na kuna baadhi umewajibu kuwa hawakuwezi kwa masom na mademu na kuwa GPA yako iko juu sana,,, mara hii umeoa na umekula mama mkwe? :confused2:
Kumbuka thread ya boom ipo kwenye jukwaa la chit chat. Nime-chit chat tu kule. Hakuna ukweli kule. Hapa tunajadili mkasa wa kweli ulionikuta. Usituchanganyie mada hapa.
 
Siku hizi mabibo hostel mnakaa na wake zenu? Kuna nyumba za wanafunzi mliio oa? maana kuna thread kuhusu BOOM kutoka kwa wanafunzi wa UDSM nimekuona KICHWANI ZERO ukijisifu kuwa juzi umekesha bar fulani na ukapoteza network na kuna baadhi umewajibu kuwa hawakuwezi kwa masom na mademu na kuwa GPA yako iko juu sana,,, mara hii umeoa na umekula mama mkwe? :confused2:

Imemtoa lakini hii thread, wewe umeona jinsi gani kawa famous ghafla!

You wanna be popular? Easy way ni kuandika au kufanya upuuzi boom, u r up! Ndio trend ya siku hizi!
 
Kweli duniani kuna wajinga wengi.Sasa hapo unataka ushauri gani,kwamba hujui ulichokifanya ni uovu au.Kijana, matatizo yako ni makubwa mno,yaani umetembea na mama na mtoto,tena mtoto akiwa mkeo!Laana na matatizo makubwa yako mbele yako,unless you repent.Make no mistake about it,lazima huyo the so called mama mkwe wako ambae kwangu ni malaya, from now on ata-behave differently,na hatimaye mkeo atajua.Uliko siko,acha mchezo huo mchafu,ambao utaharibu familia yako kabisa.
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
 
I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.

Huna tofauti na mnyama, wanyama huzini na wazazi, watoto, dada, kaka zao. Kwa binadamu hiyo ni laana ambayo utairithisha kwa uzao wako, ni kama umekufa.
Unahitaji maombi maalumu ili ujitambue na kutubu na Mungu atakurehemu, vinginevyo ndoa yako inaenda kufa.
 
hiyo ni laana, watu tunategwa na wanawake na si ndugu bado twashinda,naomba nikueleze kwamba NDOA YAKO IKOMBIONI KUVUNJIKA MKUU,MAANA WANASEMA MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
 
Kweli duniani kuna wajinga wengi.Sasa hapo unataka ushauri gani,kwamba hujui ulichokifanya ni uovu au.Kijana, matatizo yako ni makubwa mno,yaani umetembea na mama na mtoto,tena mtoto akiwa mkeo!Laana na matatizo makubwa yako mbele yako,unless you repent.Make no mistake about it,lazima huyo the so called mama mkwe wako ambae kwangu ni malaya, from now on ata-behave differently,na hatimaye mkeo atajua.Uliko siko,acha mchezo huo mchafu,ambao utaharibu familia yako kabisa.
Mkuu lengo langu ni kuacha. Najua sio vizuri ila tatizo ni huyo mama mkwe. Ananipa majaribu mazito sana. Sio rahisi kuyakwepa !
 
dogo wataka kuza jina kwa njia za kipumbavu kbs!,ila pande hz watu wanatumia vichwa kufikiri,go to hell!
 
I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.
The way forward mwite na mkeo mfanye threesome.....hata ukiacha umeshaharibu sasa unaomba ushauri wa nini? Endeleeeeeeeea si wote wawili, wewe na Mkweo ni zero brain? Mimama mingine bhana....si akatafute wazee wenzie? Imenikera sana sio siri. Kama hutaki threesome, fukuza mkeo uoe Mama Mkwe au wawe wake wenza...nyambafu
 
Ukishaanza dhambi, haiwezi kukuacha hapo hapo, lazima ipo siku itakutafuna tu, usije shangaa mzee wako naye anakula mkeo.
 
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Kwani balaa mara ngapi tena mkuu? You have messed your marriage for sure, STOP the affair with the finality of a man who is sad to have betrayed his loving wife! If the mother in law doesnt understand, you tell her that the matter will be made known to the daughter! and mean it
Pray hard for strength to keep off that area please no excuses!

 
Mi nasubiri mwanao aanze kukutega, ukiomba ushauri baada ya kumshughulikia na kutaka tena, ndo ntakushauri kwa busara.
 
Sasa kama majaribu yake yamekushinda umekuja huku kutafuta nini kwanini usingekuja kabla haujafanya huo uchafu wako na huyo mama mkwe, mkeo nae akitoka na baba yako ungejisikiaje kabla haujafanya ushenzi kama huo jaribu kufikiri kama ungefanyiwa wewe ungejisikiaje
Sio laana mkuu. Majaribu yake yamenishinda!
 
Back
Top Bottom