zema21
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 619
- 257
ha aha aa haha ahaha aa aha aa a aTumia lugha ya kistaarabu mkuu. Kama huna cha ku-comment kaa kimya.
mkuu hii tabia lakini sio nzuri kabisa kama unaifanya kweli acha si kitu kizuri! kwanza hakitakujengea heshima kwa jamii inayokuzunguka! Ni laana! Pia utachonganisha mama na mtoto wake! Naamini wewe ni mstaarabu basi fanya vitu vya kistaarabu sio vitu vitakavyokudhalilisha mkuu! Nadhani umenisoma mkuu