Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Damu ya zinaa na pepo la ngono litatawala maisha yako daima... Ndude yako itachakaa na kuwa kama kibamia.. Ulaniwe wewe na mama mkwe wako...!
 
mkwepe sana huyo bmkubwa atakuharibia ndoa! Ikiwezekana mchane live
 
Hivi unasema kweli au unatania?sasa huyo mama mkwe uliyekula mzigo unamwitaje sasa hivi?nakushauri ukatubu dhambi hiyo ya kuzini uliyoitenda na usije ukarudia tena.
 
Sawa mkuu. Ila huyu mama mkwe kwa kweli amenisumbua kwa muda mrefu hadi kapelekea nimshughulikie! Majaribu yamenishinda hasa ukizingatia na huyu mama mkwe si mkubwa sana kiumri na bado ana afya njema.

Kiruuu!Mungu tuepushe na laana za dunia hii
 
Sio laana mkuu. Majaribu yake yamenishinda!

acha ujinga yani wewe ni mtu ambaye hata cjui nikuweke kwenye kundi gani alafu unakuja na huo upuuzi hapa

ila inaonyesha ni uongo sababu majibu yako yanaonyesha unataka ligi ya mabishano na kuchezea vichwa vya watu.

jaribu kuwa seriuos mzee
 
wewe ni kichaa sijafurajhishwa na ujinga wako huu. kweli kama tunakizazi kama chako ni laana mtupu. ulifikiria mke wako akijua nini kitatokea? au huyo mtoto uliyemzaa mkiachana unajua ataishi maisha gani???
 
kwa hiyo akitokea na ndugu yake mwingine mwenye akili kama za mkweo majaribu yatakushinda tena na ofisini kwako wakitokea kama ha majaribu yatakushinda, pole yake mkeo, na wamama wengine sijui wachawi? GOD HAVE MERCY
Sio laana mkuu. Majaribu yake yamenishinda!
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.





This is an abomination!!!!!
 
habari wana jf,

mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
chukua tahadhari tu usije ukaganda.
 
Laana nyingine tunajitakia ni za hovyo sana, Mama-mkwe amenitega? Kweli Mwanaume unajitetea kijinga hivyo? kwa hiyo wewe huna breki? hata kama zimekatika hata kwa mkwe?

Kwani ana tofauti gani na mama yako mzazi? si mzazi wako huyo? Basi ikatokea bahati mbaya mama yako amekaa vibaya naye utasema anakutega? Shangazi yako je?, mama za waskaji zako je? wakwe za waskaji wako je? wake za jamaa zako je? enyi wana moja safari moja si huanzisha nyingine? Kama umeshindwa kumuheshimu MKEO hadi kutembea na mama yake, nani atasalimika?

MKUU HAPO UMEJISAHAU SANA NA ULIKOSA ADABU KWA KIWANGO KIKUBWA SANA, . STOP THAT.

James 4:7 says:- resist the devil and he will flee from you, yaani mkatae shetani naye atakukimbia" shetani sio wa kuchekea chekea kaka, ukimzoea sana lazima atakuaibisha kwa spidi na viwango.
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

Usijiite MNYISANZU kwani kwetu hatuna tabia hizo.........jiite Mtutsi!
 
ulivyo kua unategega ulikua wapi kuomba ushauri hata we mwenyewe ulikua unataka
 
Mapigo ya moyo yamechange ghafla
Kweli hiki kizazi kina laana .
 
hatari ya danger
imekuwaje ukawa na moyo wa kuiweka hapa jukwaani
hii ni laana juu ya laana bora ungechukua changudoa lakini sio mama mkwe
shame on you.
nakushauri ukatubu kanisani mbele ya waumini au msikitini mbele ya waumini wote
ita na waandishi wa habari kabisa tukufahamu vizuri
 
Unamaliza kula ndo unaomba uashauri?? endelea mkuu.
 
Mapigo ya moyo yamechange ghafla
Kweli hiki kizazi kina laana .

Kweli hiki kizazi kina laana lakini huyu Mama nae cha kumfunulia mapaja mkwe wake ni nini,wamama wengine ni msiba kwa jamii yaani amehakikisha mpaka anampata kijana na huku anajua kila kitu akataka kuonja anavyopewa mwanae duuu,......au labda wakiwa 6X6 wanapiga kelele sana mama akaona nae aonje kimpigishacho mikelele mwanae.
 
Back
Top Bottom