Yaache yaendelee kutokeaNdio hivyo tena yametokea. Sasa nifanyaje?
We ni mwanaume Laini sana., you don't have balls to say just one word .... A Big "NO".Habari wana JF,
Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.
Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!
Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Mzee wa kutafuna Mama Mkwe..Kienglishi chako ni fuli sarakasi.I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.
Vuta picha Baba yako akimtoboa mke wako. Baada ya hapo utampata akili ufanyaje.Habari wana JF,
Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.
Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!
Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Wewe sio unataka ushauri sema tufanye EVALUATION maana ushauri n kabla hujafanya!!Habari wana JF,