Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

sijaelewa vizuri,kwani ulimbaka?
 
Kumla mama mkwe ni laana iliyoandikwa wazi kwenye Bible.
Yaani hicho ulicho fanya ni zaidi ya dhambi ya uzinzi.
Hivi Baba mkwe wako na shemeji zako mtaangalianaje usoni wakigundua!? Na vipi mkeo akijua utaanza anzaje kujieleza?
 
[QUMOTE="pilau, post: 5203089, member: 98277"]Mnyisanzu ni kabila la kule Iramba - Singida wao wanausemi wao.... "Nkyalu Mukunza n'kati n'nama" maana yake "Fisi ni ngozi kwa hapa nje lakini ndani ni Nyama" ............ kwa maana hiyo wanakula fisi......[/QUOTE]
Teheteheeeeee uwiii, mayu nu kunza nama!
 
Mkuu kuna jamaa USA alikua mwanamichezo mashuhuri sana na akashinda medali za kutosha, tena alizaa na watoto kabisa na kuoa mara mbili. Baada ya muda akaanza kuliwa tigo mwisho akaachwa na mke na pia kuamua kujigeuza kuwa mwanamke... ni baba wa kufikia wa akina kim kardashian

Laana nyingine zinaanza kama utani mkuu... he jicheki usije kuna nyoro imeanza kupwita na unaanza kupata hisia za kuishikashika au kujipretend kike-kike zaidi... ndivyo alivyoanza

kama ni kweli umemla... napredict utaishia kubaya sana (jela, kufirwa au kuachwa kwa aibu na kufarakana na watoto viabay... si ajabu hata mtoto si wako ila mama mkwe anajua na anakupoza tu)

Umekaribisha kenge mlangoni... huwa hatoki hadi urudi kwa Mungu na maungamo makuu

daaaah
 
kumbe tunajadiliana na kitoto cha shule! hii lugha broken ni dalili tosha ya kiwango cha umri na uelewa wako!!
~i have given "him" what she deserves to get~...??
Labda kakusudia BABA mkwe unajua tena siku hizi mapenzi ya jinsia moja.
 
Kuna thread nyigine waungwana tuzichuje kabla kuzileta sasa kweli kiuhalisia kumlala mama mkwe c laana kubwa hiyo?ninachoona hapq huyu jamaa c kwamba kashamlala ila yuko mbioni kumlala mama mkwe labda kutokana na mazingira kadhaa na kungine kk kwann ushinde nyumbani?kakae hata kijiwebi huko
 
mkuu nikuambie kitu..
tuache kupeana moyo wala kuzuga zuga....wewe mkeo yupo kazini wewe unashindaje ndani na mama mkwe..wanaume wa siku izi mbona aibu?? mwanaume mishen town..kama huna kazi tafuta dili shinda sehemu zenye channel..ukirudi nyumbani mchana unakula unasepa tena..mpaka akiwepo mkeo ndo unatulia..tena unakua unashinda room...
unatakiwa uwe adimu kama unakaa na wakwe zako..sio unashinda sebleni unapiga chabo mpaka unatamni visivyotamanika
anyways mimi sipend kukupa moyo ila ndoa yako ikidumu hata takriban miaka 10 ,,ukatoe sshukrani..
 
Makubwa[emoji15] [emoji15] [emoji134] kwanini usingeomba ushauri kabla ya kufanya nae?????????
 
Mi nakushauri uende ukajitambulishe kwa wazazi wake ili nae umuoe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…