Nimeanza mwaka kwa kuacha punyeto


Mkuu we unasema tu, nyeto bana ukifikisha miaka kama mitano tu kupiga basi si rahisi kuacha, tangu nianze kupiga hadi sasa nimekifisha miaka 18 ya upigaji na kila siku huwa nasema nitaacha lakini wapi. Naomba msaada wako wa dawa uliyotumia kuacha mdogo wangu ili na mimi niweze kuacha.
 
Maamuzi tu.

Nimefikisha masaa 7 tangu niache sasa
 
Maamuzi tu.

Nimefikisha masaa 7 tangu niache sasa

Wewe hesabia, lakini pepo la nyeto linaharibu Saikolojia ya mpigaji kiasi kwamba, baada ya kusema umeacha itakujia tu kuwaza "Labda kile nilichokipiga hakikuwa kitam ngoja nipige kingine cha mwisho huenda kikawa kitam zaidi" Hapo unakuwa ukikishika kicha cha mkuyenge tu umekwisha, lazima ukapige. Nimewamaliza Pornstar wote wa Xvideos.com lakini bado imekuwa ngumu kuacha. Tuombeane.
 
Kama kweli huwa unaingia bafuni na unaoga kwa sabuni bs nikuhakikishie tu....huji kuacha ndugu....na hyo smartphone ndo kabisaaaaa....
 
Yani punyeto kama arosto ya madawa auachi utajitaidi sana ukiacha ni mamuzi magumu ukiweza kuacha nyeto ata sigara pombe utaweza kuacha bila kutumia dawa yoyote nilikuwa napiga nikienda kula dem naona siyo mtamu kama punyeto nilikuwa napiga nikitaka kukitupa naacha kidogo nilikuwa napata raha mara 100000000 na demu alafu hapo situmia ata pesa nikiwa na demu matumizi kidogo ni 40
 
Hii kitu niliacha kwa shida sana!! Nlikua mtumwa kwa miaka 14 wa puli,sasa iv nina mwaka na miez sijastua
 
Pole mkuu kwa kufingiwa ile ID yako ya kutukania ile ya HR 666..*****[emoji23] [emoji23]
 
Mimi nlisema nimeachaa...leoo nkaona dalili hizooo aisee..!! Pepooo shindwaaa...
 
Duniani Kuna addictions 3 ambazo Ni ngumu kuacha na madhara Yake hayaelezeki

1.Ngada/ sigara

2.Pombe

3.Mamnyeto

Hio nambari 3 ndo mbaya kuliko zote,ukianza hyo jua tu Ni ngumu sana kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…