Hata mimi ningependa kujua amejuaje perfomance ya moyo wako...🙁Hahaaa eti moyo wangu bado tineja, why unasema hivi mamii
BTW am glad to see you back[emoji122] [emoji122] , ulipotelea wapi aisee? sijaona comment yako humu kitambo
Ha ha ha ukitaka m-bongo afanye kitu mwambie kinaongeza nguvu za kiume!
hahaha hii ni kweli tupu..
vijana wengi siku hizi pia wanaenda gym ili wawe na miili ya kuvutia mabinti na sio kwa ajili ya afya zao.
Inabidi wajue kuwa Pesa ndio zinaongeza nguvu za kiume..
ni kweli...japo nia yao sio sahihi lakini inawasaidia sana pasipo hilo kuwa lengo laoAiseeh!
Lakini afadhali wanaua ndege wawili kwa jiwe moja! [emoji2]
Kwakwelii had Leo sikujua nini kilinitoboaPole, nini kilikutoboa?
Nimeshapona ilikuw mwaka Jana but sithubutu kufanya tenaPole,ukipona endelea na mazoezi.
Naomba tuwe tunapasha wote lols.......Leo vipi umepasha? challenge kubwa napata asubuhi naamka na NJAA ya ajabu inabidi niitulize na ndizi mbivu moja ndio niendelee..
Karibu tupashe, nakula usiku ila nikiamka tumbo tupu kabisa!
yeah nimepasha kidogo asubuhi japo sijaridhika sana ingawa sasa viungo vyote havitamaniki hapa nilipo...Leo vipi umepasha? challenge kubwa napata asubuhi naamka na NJAA ya ajabu inabidi niitulize na ndizi mbivu moja ndio niendelee..
Kukimbia.. Kuruka kamba..na mazoezi ya kukata tumboKwani ulikuea unafanya mazoezi gani?