Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Hahaaa eti moyo wangu bado tineja, why unasema hivi mamii

BTW am glad to see you back[emoji122] [emoji122] , ulipotelea wapi aisee? sijaona comment yako humu kitambo
Hata mimi ningependa kujua amejuaje perfomance ya moyo wako...🙁
 
hahaha hii ni kweli tupu..
vijana wengi siku hizi pia wanaenda gym ili wawe na miili ya kuvutia mabinti na sio kwa ajili ya afya zao.

Aiseeh!

Lakini afadhali wanaua ndege wawili kwa jiwe moja! [emoji2]
 
Mi nilikuwa nafanya kila siku kukimbia kukata tumbo kuruka kamba siku moja nikadondoka nikatobolewa mguu karibu na goti toka hapo sithubutu tenaa kwanza nayaogopa
 
Mi nilikuwa nafanya kila siku kukimbia kukata tumbo kuruka kamba siku moja nikadondoka nikatobolewa mguu karibu na goti toka hapo sithubutu tenaa kwanza nayaogopa
Pole, nini kilikutoboa?
 
🙂🙂🙂
asantee
Leo vipi umepasha? challenge kubwa napata asubuhi naamka na NJAA ya ajabu inabidi niitulize na ndizi mbivu moja ndio niendelee..
 
Leo vipi umepasha? challenge kubwa napata asubuhi naamka na NJAA ya ajabu inabidi niitulize na ndizi mbivu moja ndio niendelee..
Naomba tuwe tunapasha wote lols.......
kwanini unaamka na njaa usiku hauli chakula??
 
Leo vipi umepasha? challenge kubwa napata asubuhi naamka na NJAA ya ajabu inabidi niitulize na ndizi mbivu moja ndio niendelee..
yeah nimepasha kidogo asubuhi japo sijaridhika sana ingawa sasa viungo vyote havitamaniki hapa nilipo...

hiyo challenge mimi mwenyewe hunitokeaga sometime...japo sio mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom