Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Inategemea na malengo ya mtu mkuu. Mimi sitafuti kazi ya ubaunsa au kushinda mr dar. Nahitaji kuwa fit tu ndio maana nakimbia. Push ups ni bonus tu kujenga kifua kidogo na mikono iwe strong niweze kupiga 3 pointers bila shida. Asante kwa ushauri
 
Inaongeza na pumzi ya kugegedea usisahau!
Mm napiga widearm pushups,knee push up,chest pull,indian pushups,planks!
Ingawa nikitoka apo nakua kama nimetoka kupandisha zege ghorofa ya 7,izi ngono izi!!
 
Hakuna atakayepiga push ups halafu akawa baunsa.

Asante
Sawa instructor, umeeleweka wacha niendelee na routine yangu tu coz naujua mwili wangu kuliko wewe.
 
Inaongeza na pumzi ya kugegedea usisahau!
Mm napiga widearm pushups,knee push up,chest pull,indian pushups,planks!
Ingawa nikitoka apo nakua kama nimetoka kupandisha zege ghorofa ya 7,izi ngono izi!!
Hongera
 
Nilikuwa nikikimbia km 5 hadi 6 nina simu yenye app ya mazoezi inaitwa samsung healthy inauwezo waku-truck unakimbia au unatembea.....
 
hahahahah hiyo yote kwa ajili ya ngono?
ila walau mwili wako unafaidika pia hata kama sio lengo lako
Inaongeza na pumzi ya kugegedea usisahau!
Mm napiga widearm pushups,knee push up,chest pull,indian pushups,planks!
Ingawa nikitoka apo nakua kama nimetoka kupandisha zege ghorofa ya 7,izi ngono izi!!
 
Mpaka Sasa siwezi hata kupiga push up 1 ila naweza kuruka kamba 30 bila kupumzika squat 15 bhasiii kukimbia pia siwezi kabisa,,, Nimeanza safari na Mimi nina siku 13
 
Karibu twende wote. Jaribu sit ups. Pia unaweza kuanza kutembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…