Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na malengo ya mtu mkuu. Mimi sitafuti kazi ya ubaunsa au kushinda mr dar. Nahitaji kuwa fit tu ndio maana nakimbia. Push ups ni bonus tu kujenga kifua kidogo na mikono iwe strong niweze kupiga 3 pointers bila shida. Asante kwa ushauriIshu siyo idadi ya push ups, ila ni aina gani za push ups. Kila push ups zinalenga kitu.
So yeah zitakua push ups 20*4 lakini za miguu na mikono kua tambarare, miguu kua juu ya kitu, n.k.
Hapa ndiyo kuna siku nilikwambia hata ule kama unafukia, namna hii ya mazoezi itakushape tu
Eti eeh kuruka kamba kunasaidia ku-loose wait?Ukitaka uwe kimbaumbau ruka kamba namna hio.
Ngoj nianz iyo session nimemis ile body ya kimbaumbauSaana.
Inaongeza na pumzi ya kugegedea usisahau!
Mm napiga widearm pushups,knee push up,chest pull,indian pushups,planks!
Ingawa nikitoka apo nakua kama nimetoka kupandisha zege ghorofa ya 7,izi ngono izi!!
mimi pia aisee..Masumu niliojaza mwilini weekend hii inabidi mazoezi week ijayo niongeze kidogo
Thanks bro.....Mkuu RRONDO hongera, shikilia hapo hapo usiachie
Nimewahi kuandika uzi kuhusu fitness and wellness hapa: Fitness and wellness
Karibu twende wote. Jaribu sit ups. Pia unaweza kuanza kutembeaMpaka Sasa siwezi hata kupiga push up 1 ila naweza kuruka kamba 30 bila kupumzika squat 15 bhasiii kukimbia pia siwezi kabisa,,, Nimeanza safari na Mimi nina siku 13
Asante mkuu taratibu nitafika tuu nadhani shida ni uzoefu maana kg 69 tuu lakini ni mzito mno,Karibu twende wote. Jaribu sit ups. Pia unaweza kuanza kutembea