Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Kati ya kuruka kamba na jogging zoezi lipi linaongeza pumzi na kupunguza weight?
Inategemea na intensity. Ukiruka kamba kwa intensity kubwa na anaekimbia at a slow pace obvious wa kamba atapoteza more weight.
Ila hayo ndio mazoezi makuu ya kupunguza uzito.
 
Kati ya kuruka kamba na jogging zoezi lipi linaongeza pumzi na kupunguza weight?
Kukimbia ndio zoezi mama!! Kama ni weight komaa na kukimbia then rekebisha ulaji wako unaweza ongezea na unywaji wa maji ya vuguvugu kila asubuhi!!
 
Hongera mkuu mimi nimeshindwa hasa push up
[emoji16]mkuu na comment hii reply yako japo ya longtime, kama nakuona vile unapopiga push up, halafu unabakia palepale chini, ukitaka kuinuka mikono inatetemka
 
Hata mi napigiaga chumbani tu, nashangaa wanaohangaika na Gym
mkuu zoezi sustaiable yanahitaji commitment, na mikakati pia. ukijiona hauwezi kuwa commited labda umeanza fresh then inafika mwezi wa nne unaanza kuacha ujue unatakiwa u-change tactics, ikiwezekana jiunge gym tena ulipie kabisa, utajikuta unhudhuria ili pesa isipotee bure lkn pia unapata company na usimamizi ikibidi
 
Nina marafiki wengi wamelipia gym ila ni kama kituo cha polisi. Uzuri wa mazoezi yakikubali siku usipofanya unahisi kuna kitu kimepungua.
 
Wale wenzangu wa mazoezi mpo? Baada ya mvua kuvuruga ratiba sasa hivi hali ya hewa imetulia, mwendo mdundo.....
 
Mie nasubiri ramadhan iishe, nirudi kwenye jalamba
Mie hii wiki imepita aisee bila mazoezi japokuwa nilianza vizuri japo kwa kuruka kamba na ile ya kuchuchumaa na kuinuka, of course wiki iliyopita nilifanya "manual work" ambayo ilihusisha kupanda na kushuka mlima flani mara kwa mara (of course ilikuwa ni sehemu ya kazi ila kwangu ilikuwa kama zoezi maana shughuli yake ilikuwa pevu)
 
Jitahidi urudi kwenye mazoezi. Ukikaa sana kurudi ni ngumu.
 
Jitahidi urudi kwenye mazoezi. Ukikaa sana kurudi ni ngumu.
Nilisimama kutokana na kazi moja ngumu ya kupanda mlima na kushuka mara kwa mara ambayo kwangu ilikuwa ni bonge ya zoezi ila naanza keshokutwa japokuwa napiga push-up za kivivu 15, kuruka kama na squatting exercise mara 20 napumzika sekunde 30 narudia mara 5 (mdogo mdogo tu nitajiongoza)
 
Mazoezi ni dawa ya magonjwa na kinga ya magonjwa pia,mimi nafanya jogging 4 times a week 15 rounds of football pitch each visit and usually it takes 45 minutes per visit plus 50 pushups as well
 
Mazoezi ni dawa ya magonjwa na kinga ya magonjwa pia,mimi nafanya jogging 4 times a week 15 rounds of football pitch each visit and usually it takes 45 minutes per visit plus 50 pushups as well
Sasa hivi najitahidi nijog siku tano kwa wiki,push up 300 siku mbili zilizobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…