Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi


Ila mkuu sisi tuliopanga nyumba za uswahilini ukianza kukimbia unazunguka nyumba utaanza kuambiwa unafanya ulozi.
 
Mazoezi chumbani muhimu
Mashine za kukimbilia bei gani? Kuna mtu anauza used 900,000/-(kaniambia aliinunua 2.5m wakati mpya). Mazingira kama yanaruhusu kukimbia barabarani,uwanjani hii hela ni ngumu kutoa.
 
Mazoezi nayo discipline jamani..dah.. yaani kila nikiitupia macho kamba yangu nasema…kesho partner….
 
Kuna binadamu humu aliandika kua watu wa zaman waliishi miaka mpaka1500 na walikua hawafanyi mazoezi akadai et..... kufanya mazoezi ni kuuchosha mwili na inapelekea kufa mapema, ndo maana watu wa siku hizi wanakufa na umri mdogo.
Akaenda mbal zaid akasema et ni bora tuitulze miili yetu tuachane na mazoezi, kufanya hivyo ni kupoteza muda.
Binafsi naamini mazoez ndio uhai wa mwili wa mtu na mazoezi sio lazima kunyanyua uzito mkubwa,
 
Watu wa zamani shughuli zao tu ni mazoezi tosha. Mtu anamfukuza swala mpaka anamkamata anahitaji tena mazoezi?
Akinunaweza kukaa wiki hujatembea hata km 2
 
Mm mazoezi nliacha kitambo sna nlivyostafu UJAMBAzi japo kwa ss natamani nianze ila naogopa mwili usijeanza kudai ile kazi yng ya zamani.....Mungu nisaidie....
 
Mm mazoezi nliacha kitambo sna nlivyostafu UJAMBAzi japo kwa ss natamani nianze ila naogopa mwili usijeanza kudai ile kazi yng ya zamani.....Mungu nisaidie....
Aisee...
 
Duuh kweli tuko tofauti, basi mi nikipiga zoezi ndo appetite ya kumwaga, sema huwa najicontrol kula, vinginevyo ndo nazidi kuumuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…