Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Kama huwezi kichura chura basi ruka kamba na squarts (kama hulijui angali youtube utajifunza jinsi ya kupiga) hutojuta!!!

Kitu kinanishangaza kuhusu mazoezi hasa ya kukimbia, ni kwamba...saa unaanza mazoezi unaweza tamani uache yaani unahisi as if ni magumu kweli na mwili hautaki ila unapokaribia kumaliza unajikuta unatamani kuendelea!!! hii hali inanitokeaga sana nnapofanya mazoezi hasa kukimbia!!!

Ila mkuu sisi tuliopanga nyumba za uswahilini ukianza kukimbia unazunguka nyumba utaanza kuambiwa unafanya ulozi.
 
Mazoezi chumbani muhimu
Mashine za kukimbilia bei gani? Kuna mtu anauza used 900,000/-(kaniambia aliinunua 2.5m wakati mpya). Mazingira kama yanaruhusu kukimbia barabarani,uwanjani hii hela ni ngumu kutoa.
 
Mazoezi nayo discipline jamani..dah.. yaani kila nikiitupia macho kamba yangu nasema…kesho partner….
 
Kuna binadamu humu aliandika kua watu wa zaman waliishi miaka mpaka1500 na walikua hawafanyi mazoezi akadai et..... kufanya mazoezi ni kuuchosha mwili na inapelekea kufa mapema, ndo maana watu wa siku hizi wanakufa na umri mdogo.
Akaenda mbal zaid akasema et ni bora tuitulze miili yetu tuachane na mazoezi, kufanya hivyo ni kupoteza muda.
Binafsi naamini mazoez ndio uhai wa mwili wa mtu na mazoezi sio lazima kunyanyua uzito mkubwa,
 
Watu wa zamani shughuli zao tu ni mazoezi tosha. Mtu anamfukuza swala mpaka anamkamata anahitaji tena mazoezi?
Akinunaweza kukaa wiki hujatembea hata km 2
 
Kuna binadamu humu aliandika kua watu wa zaman waliishi miaka mpaka1500 na walikua hawafanyi mazoezi akadai et..... kufanya mazoezi ni kuuchosha mwili na inapelekea kufa mapema, ndo maana watu wa siku hizi wanakufa na umri mdogo.
Akaenda mbal zaid akasema et ni bora tuitulze miili yetu tuachane na mazoezi, kufanya hivyo ni kupoteza muda.
Binafsi naamini mazoez ndio uhai wa mwili wa mtu na mazoezi sio lazima kunyanyua uzito mkubwa,
Mm mazoezi nliacha kitambo sna nlivyostafu UJAMBAzi japo kwa ss natamani nianze ila naogopa mwili usijeanza kudai ile kazi yng ya zamani.....Mungu nisaidie....
 
Aisee...
 
Ha ha ha ha hamna mzee hata wewe unaweza, usipige nyingi kwa mara moja. Anza hata tano halafu unaongeza taratibu. Mimi nikitaka kurudisha mwili shati likae napiga push ups tu mwezi mmoja tu nisharudi. Mimi namshukuru Mungu nikitaka ku-gain wait nafanya mazoezi nisipofanya napoteza kg hadi tano kwasababu hata kula sili sisikii njaa.
Duuh kweli tuko tofauti, basi mi nikipiga zoezi ndo appetite ya kumwaga, sema huwa najicontrol kula, vinginevyo ndo nazidi kuumuka
 
Back
Top Bottom