Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Si jambo rahisi. Mimi last week nimejitahidi kutokula usiku ila ijumaa mpaka jumapili nimekula sana na kunywa sana. Leo nimeanza tena ila weekend tutasameheana na huu mwili
Basi hujaamua kupungua.
 
Big up yourself!

Mazoezi muhimu sana.

Huwa nashangaa kwanini watu wanapata uvivu kufanya mazoezi.

Mazoezi inatakiwa iwe lifestyle. Yani unakuwa addicted vile

Binafsi nakimbia 21kms (that's half Marathon) every Saturday.

Pia nimewahi shiriki Ngorongoro Marathon. And yes I finished the 42kms....my body size is small but I'm tough as nail.

Nimeona hapo huendi gym. Ni vizuri pia.

Binafsi I don't lift weight. Mwili wangu unanitosha.

Nikiwa home jioni (most of weekdays)nafanya sana cardio workout. Torso circles, squat + push, ventral jacks na mazoezi mengine ya viungo.

Pia nafanya kick boxing workout.

Pumzi yangu ipo juu sana sometimes nadhani sichoki. Labda kwasababu nimeanza kipindi kirefu.

Hongera mkuu Rrondo. Nimeandika yote hayo labda inaweza ikawa inspiration kwa baadhi ya watu. Mazoezi muhimu sana.

Kwa ladies wa JF kama mnataka glowing skin basi mazoezi ndiyo jibu.
 
Ni bora ukanunua baiskeli na mashine ya Kukimbia ukaiweka chumbani kwa raha zako zipo game Mlimani city
900,000/- Used hio.
 

Attachments

  • IMG_20180130_172358.jpg
    208.1 KB · Views: 74
  • IMG-20180130-WA0002.jpeg
    208.6 KB · Views: 72
Natamani sana kumaliza hata half marathon moja kabla sijafa. Unaweza kunipa maandalizi ya half marathon?
 
Mazoezi ya viungo ni mazuri kwa afya ya akili na mwili.
 
Kuruka kamba na kucheza mziki kwa masaa 4 hadi 5 mfululizo bila kupumzika ndo zoezi kubwa ambalo huwa nalifanya bila kujifikiria mara mbili.

Hongera mazoezi ni mazuri kwa afya, ukijipenda huwezi kujiacha uangamie.
Masaa manne mfululizo duuh ngoja nikafukunyue kamba yangu[emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…