Mimi nilikua nafanya jogging. Sasa hivi nimeacha kama wiki ya pili sasa.Hahahaaa kweli kabisa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikua nafanya jogging. Sasa hivi nimeacha kama wiki ya pili sasa.Hahahaaa kweli kabisa mkuu
hahaaaa ili kujiandaa na baa la njaa linaloelekea kuikumba kutokana na vyuma kutokuwa na dalili za kulegeaKivipi? Sijaelewa hapa.
Ukitaka uwe kimbaumbau ruka kamba namna hio.Kuruka kamba na kucheza mziki kwa masaa 4 hadi 5 mfululizo bila kupumzika ndo zoezi kubwa ambalo huwa nalifanya bila kujifikiria mara mbili.
Hongera mazoezi ni mazuri kwa afya, ukijipenda huwezi kujiacha uangamie.
Hii ni safi zaidi.Basi mimi ni kinyume. Nikiacha kurudi inakuwa ngumu kidogo ila nikishaanza kuacha napo ni kazi sana.
Rudia mkuu mazoezi ni afyamm nilikua nafanya jogging. sasa hivi nimeacha kama wiki ya pili sasa.
Nimeamua niupe mwili wangu mapumziko ya wiki nne. Then nitarejea tena maana mm hua nakimbia barabaraniKwanini umeacha?
Ukitaka uwe kimbaumbau ruka kamba namna hio.
Jifunze kuandika kwanza, halafu jifunze kusoma, halafu jifunze kuelewa kilichoandikwa,halafu jifunze kuelewa kilicho nyuma ya kilichoandika ukimaliza rudi hapa tuendeleze mjadala.Wewe sema kwamba mtu au wewe kuna uwezekano wa kufanya mazoezi bila kwenda gym ikiwa una pesa au mda wa kuudhuria lakini usijaribu kuandika upuuzi kuusu mazoezi ya kunyanyua chuma au kuusu gym, gym ni special place ambayo inahisisha mazoezi aina yote atayapata gym arafu katika mazoezi kunyanyua chuma (free weight)ndio mazoezi latest kabisa sasa usiringanishe free weight na vitu vya kijingajinga
Watu wanashangaa tu huyu dada mbona yuko fit au anahudhuria Gym....Hahah looh hata hutu tutako tunaponisaidia nisiumie nikikaa tutakauka. Yaani niruke kamba kwa masaa 4 mfululizo. Ntainuka aiseeh nikiwa kimbaumbau, hapanaa mie naruka kidogo tuu nikiona nimelowa jasho naacha. Ila mziki aaah ntacheza hata masaa 5.
Asante kwa kuweka amsha amsha ya mazoezi.
Nijifunze ili iweje kuandika kwako kunyanyua michuma inaonesha kwamba unaponda aina hiyo ya mazoezi au umeandikaje apoJifunze kuandika kwanza, halafu jifunze kusoma, halafu jifunze kuelewa kilichoandikwa,halafu jifunze kuelewa kilicho nyuma ya kilichoandika ukimaliza rudi hapa tuendeleze mjadala.
Nitarudia mkuu. ila kipindi niko busy sana na nikifanya mazoezi huwa nachoka sana.Rudia mkuu mazoezi ni afya
Sasa waeleze watu kuusu aina yako ya mazoezi kama uwelewi faida ya aina ya mazoezi ya free weight achana nayo sio kuponda tuSiwajibiki na tafsiri yako kwa nilichoandika. Sina control na ubongo wako.
Mkuu, una msosi wa kutosha!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji28]Anza taratibu, hata tano kwa siku unaenda ukiongeza.