Nimeanza mwaka nikiwa single.
Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma😞😞. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia kitochi siwezi peruse mtandaoni tena zaidi ninapokua kazini.Upweke unazidi kuongezeka!
Sihitaji mahusiano tena kwa sasa ni kama nmegive up fulani kwenye huo ulimwengu. Wenzangu mnafanyaje kuepuka upweke? Ubaya nakaa peke yangu pia. Nikirud nyumbani nakereka sana natamani kushinda kazini tu yani. Kiswaswadu nakiweka chumbani mana hata hakiiti. Wallahi nanyooka
🙌🙌🙌🙌