Nimeanza mwaka nikiwa single

Nimeanza mwaka nikiwa single

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] For the mean time atumie matango sio
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] For the mean time atumie matango sio
Siwezi abadani sijaona mtu akifa kisa upwiru
 
Welcome to the club ✌️
FB_IMG_16050175719658090.jpg
 
Nimeanza mwaka nikiwa single.

Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma[emoji20][emoji20]. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia kitochi siwezi peruse mtandaoni tena zaidi ninapokua kazini.Upweke unazidi kuongezeka!

Sihitaji mahusiano tena kwa sasa ni kama nmegive up fulani kwenye huo ulimwengu. Wenzangu mnafanyaje kuepuka upweke? Ubaya nakaa peke yangu pia. Nikirud nyumbani nakereka sana natamani kushinda kazini tu yani. Kiswaswadu nakiweka chumbani mana hata hakiiti. Wallahi nanyooka[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
1.Shinda kazini, Chelewa kurudi nyumbani
2.Jichanganye na jamii, kazini
3.Hudhuria ibada, ama vikundi vya dini ili uwe busy busy
 
Nimeanza mwaka nikiwa single.

Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma😞😞. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia kitochi siwezi peruse mtandaoni tena zaidi ninapokua kazini.Upweke unazidi kuongezeka!

Sihitaji mahusiano tena kwa sasa ni kama nmegive up fulani kwenye huo ulimwengu. Wenzangu mnafanyaje kuepuka upweke? Ubaya nakaa peke yangu pia. Nikirud nyumbani nakereka sana natamani kushinda kazini tu yani. Kiswaswadu nakiweka chumbani mana hata hakiiti. Wallahi nanyooka🙌🙌🙌🙌
Nina dawa ya kuondoa hilo tatizo la upweke ndani ya muda mfupi. Karibu upate huduma kwa masharti nafuu.
 
sasa nijioe kisa mpweke jamani, mbona mapema sana kunyanyapaliwa
Sasa kama hutaki kujioa sii bora uwatunuku basi vidume mbusus hiyo wakutoe upweke. yaani kwanza zile raha za mitongozo tuu mwenye utaleta mresho hapa kuwa upweke hamna tena. ukiongeza na mgegedo wenye ndio kabisaaa
 
Duh! Pole sana. Mi mwenyewe yamenikuta nina kama mwezi na wiki kadhaa niko singo.

Back
Top Bottom