Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeanza mwaka nikiwa single.
Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma😞😞. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia kitochi siwezi peruse mtandaoni tena zaidi ninapokua kazini.Upweke unazidi kuongezeka!
Sihitaji mahusiano tena kwa sasa ni kama nmegive up fulani kwenye huo ulimwengu. Wenzangu mnafanyaje kuepuka upweke? Ubaya nakaa peke yangu pia. Nikirud nyumbani nakereka sana natamani kushinda kazini tu yani. Kiswaswadu nakiweka chumbani mana hata hakiiti. Wallahi nanyooka🙌🙌🙌🙌
Upweke nao unasumbua sn.Halafu tukipendana wote tulioumizwa tutafika patamu.Maana unakuwa unamjali mwenzako kulingana na experiencesasa mbona unataka kurudi bila kupumzika
Upweke nao unasumbua sn.Halafu tukipendana wote tulioumizwa tutafika patamu.Maana unakuwa unamjali mwenzako kulingana na experiencesasa mbona unataka kurudi bila kupumzika
We unavyoponda ndoa ww, si maumivu kweupeUnakuaje mpweke na sisi SINGLE BOYS tupo.
Karibu PM tupeane kampani tafadhali.
#YNWA
Mi napumzika aisee, yani mpaka nione wa kunishawishi haswaUpweke nao unasumbua sn.Halafu tukipendana wote tulioumizwa tutafika patamu.Maana unakuwa unamjali mwenzako kulingana na experience
ondoa hofu nikiwepo mimisema kweli
Kuna tofauti Kati ya asemayo mtu na atendayo mtu.We unavyoponda ndoa ww, si maumivu kweupe
mtu hakujui unafkr cha kwanza kuamini n nn kama sio maongeziKuna tofauti Kati ya asemayo mtu na atendayo mtu.
Don't judge a book by reading from its cover only.
#YNWA
Unafikiri naweza kukubishia wakati tulikua tunamdate wote na unajua kila kitu. akha sijalelewa hvyo nakubali tu mwenzanguInaonekana ww ndo uliyavuruga na jamaa unamuelewa haswaa ila ndo ivo jamaa kaamua kukazaa..ataki tena upuuzi unaoitwa mapenz...sasa fanya tu uvune ulichokipanda
ntaliangalia hili baadaeMimi nina miaka miwili nipo single, nimeamua nipumzishe akili kwa sababu sioni faida ya kukimbilia wanawake, nimeamua nichukue time ya kutosha.
Upweke upo lakini ni kitu cha kawaida kwa sababu nimejipa muda wa kuwa busy hasa usiku nikiwa nyumbani. Nina manzi mmoja nilikutana naye mwaka jana, ananiliwaza no strings attached na tumekuwa marafiki wazuri wa faida, kwa sababu hata yeye yupo single, kwa hiyo tunarelate na vitu vingi.
Asante rafiki yanguPole rafiki yangu,naona hatimaye umeamua kujitoa rasmi
Na hili ndio la msingi, fanya sana ibada na kila kitu kitakaa sawa.Bwana we na kweli am 30, ndo mana nmesema natulia tu nifanye maisha kwanza. Ila nikfanya ibada nina iman mungu ataniongoza
Ukishaliangalia usinisahauntaliangalia hili baadae