Nimeanza mwaka nikiwa single

Nimeanza mwaka nikiwa single

Sometimes, we should learn to understand what isn't being narrated.

Hamjamuelewa tu mtoaa mada ninyi Wakulungwa?

Mwenzenu anahitaji simu. Anaamini simu ndiyo pekee inayoweza kukuondolea upweke.

Kiufupi, na bila unafki 'kuna mtu atapigwa hapa'.

Good luck!.
Hivi wewe unaweza mnunulia simu mtu usiyemfahamu? sema sehem kama hii lazima nikutane na watu wenye mawazo haya. Labda tu umeruka sehem inayosema nafanya kazi. nimeuliza wat to do kuepuka upweke. Simu ni suala la muda ntaipata so kuwa na amani
 
Nipo hapa,pia ni mpweke mwenzako! Hua natamani kushinda tu ofisini,maana nyumbani ni stress hadi natamani kulia
ofisini ni best place kujisikia active aisee, natamani nngepata night shifts yani sema ndo sio nature ya kazi
 
Yes! Ofisini interaction na watu ni kubwa sana,unajikuta unasahai,lakini ukifika tu nyumbani,mambo yanaanza upya! Utaangali movie hadi ukome,ukilala unaota mandoto ya ajabu ajabu tu,nyie nyie, stress za mapenzi zisikieni tu
Kama jumapili iliyopita nmeangalia movie 10 sijaamini aisee
 
Ni jambo zuri,but be sure unayeanza nae he is perfect, usije jutia tena maamuzi yako baadae! Kwa sasa kama uko na 30+ kupata mtu wakukuoa ni nadra sana,wengi ni waume za watu au wana watoto wametengana na wake zao huko! Au Mke yuko mbali,wewe unakua ka diversion kake!
Bwana we na kweli am 30, ndo mana nmesema natulia tu nifanye maisha kwanza. Ila nikfanya ibada nina iman mungu ataniongoza
 
Kumbe wahanga tupo wengi....mimi nimeachana nae tarehe 4 january.2022.Sitaki tena kitu kinachoitwa ndoa.
 
Kumbe wahanga tupo wengi....mimi nimeachana nae tarehe 4 january.2022.Sitaki tena kitu kinachoitwa ndoa.
mh maumivu yako makali zaidi, ndoa sio mchezo. mimi ndoa ilikua 9 january 2019. Usijute Mungu ana makusudi yake, Inuka pambana
 
Sawa! Kila kheri ndugu yangu! Mimi sasa hivi natuliza akili kwanza! Sina haraka sana! Wanasema life begging at forty,yaani four floor ndiyo nianze tena kuwaza mapenzi!
Sawa sawa pamoja mkuu
 
mh maumivu yako makali zaidi, ndoa sio mchezo. mimi ndoa ilikua 9 january 2019. Usijute Mungu ana makusudi yake, Inuka pambana
Sikua nimefunga nae ndoa ila nilishamlipia mahari .5yrs in relationship without a child and misunderstanding za kutosha ....nimeamua kunyosha mikono juu.Let me be free.
 
Back
Top Bottom