Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Yaani umekuja na huku???Makubwa...
πππππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani umekuja na huku???Makubwa...
Hee kwani huku wapi?Yaani umekuja na huku???
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
muslimNa hili ndio la msingi, fanya sana ibada na kila kitu kitakaa sawa.
Mungu hashindwi na jambo na hayo ni majaribu tu unayapitia.
Kila linalokutokea lina kheri ndani yake.
Wewe ni dini gani mkuu??
Asante sana kwa ushauriRuhusu tu kuumia kwa Sasa, Yani umia vizuri. Hii itakusaidia utakapopona utakua very strong kuliko ulivyokua mwanzo, hata mahusiano mengine yakiyumba Wala haitakugharimu kihivyo.
Muda Ni Jambo jema Sana na Tiba mbadla. Kweli upweke unakera Ila usijekimbilia mahusiano kwa haraka kisa tu umekuwa mpweke maana huko yatakukuta mambo usiyotarajia.
Unaona sasa?? Umepotea njia huku rafiki yanguHee kwani huku wapi?
Basi swali sana dada. Muombe sana Mungu na kila kitu kitakaa sawa.muslim
Ah wee nae sasa watuangusha jamani. Dininyako inaruhusu wee kiwa mke wa pili, tau hadi wanne so unakwama wapi mpaka unakiwa mpwekemuslim
jasiri haachi asili pambana...au ni DM nikupambanie[emoji4]Nimeanza mwaka nikiwa single.
Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma[emoji20][emoji20]. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia kitochi siwezi peruse mtandaoni tena zaidi ninapokua kazini.Upweke unazidi kuongezeka!
Sihitaji mahusiano tena kwa sasa ni kama nmegive up fulani kwenye huo ulimwengu. Wenzangu mnafanyaje kuepuka upweke? Ubaya nakaa peke yangu pia. Nikirud nyumbani nakereka sana natamani kushinda kazini tu yani. Kiswaswadu nakiweka chumbani mana hata hakiiti. Wallahi nanyooka[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nioe wewe basi, mana unavyolaum over najiuza hapaAh wee nae sasa watuangusha jamani. Dininyako inaruhusu wee kiwa mke wa pili, tau hadi wanne so unakwama wapi mpaka unakiwa mpweke
Hilo ondoa shaka wee njoo pm tuyajenge mrembo....njoo nikustiri mrembo usije ukaanza kutumia matango feki wakati orijino yapo hapaNioe wewe basi, mana unavyolaum over najiuza hapa
Anza basi kunijua ili ujue nilivyo.mtu hakujui unafkr cha kwanza kuamini n nn kama sio maongezi
Bichwa lakoHilo ondoa shaka wee njoo pm tuyajenge mrembo....njoo nikustiri mrembo usije ukaanza kutumia matango feki wakati orijino yapo hapa
Wee mrembo njoo tuyajenge bwana acha na upweke huo. Unatakiwa uwe na mwanaume wakukupa stress ndogo ndogo huku baadae anapoza stress hizo na mgegedo wakeBichwa lako
pepo shindwa, usinitamanisheNime miss kupikia binti wa mtuu
na hii mvua hebu acha hizoWee mrembo njoo tuyajenge bwana acha na upweke huo. Unatakiwa uwe na mwanaume wakukupa stress ndogo ndogo huku baadae anapoza stress hizo na mgegedo wake
Umeona sasa mvua hii wee unakumbatia mto...acha kupoteza rasilimalina hii mvua hebu acha hizo
nmeandaa na series zangu za kuangalia weekend nzimaUmeona sasa mvua hii wee unakumbatia mto...acha kupoteza rasilimali
[emoji16][emoji16][emoji16] kwamba mimi mahaba hayanihusu?Unaona sasa?? Umepotea njia huku rafiki yangu