Nimeanza mwaka nikiwa single

Nimeanza mwaka nikiwa single

Ruhusu tu kuumia kwa Sasa, Yani umia vizuri. Hii itakusaidia utakapopona utakua very strong kuliko ulivyokua mwanzo, hata mahusiano mengine yakiyumba Wala haitakugharimu kihivyo.

Muda Ni Jambo jema Sana na Tiba mbadla. Kweli upweke unakera Ila usijekimbilia mahusiano kwa haraka kisa tu umekuwa mpweke maana huko yatakukuta mambo usiyotarajia.
 
Asante sana kwa ushauri
 
Basi swali sana dada. Muombe sana Mungu na kila kitu kitakaa sawa.

Change ratiba yako ya kazi, it's okey to spend some more hours at work and go back home a little late.

Fanya fanya mazoezi hapo kwako na tumia muda huu kusoma soma vitabu
 
Nimeanza mwaka nikiwa single.

Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma[emoji20][emoji20]. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia kitochi siwezi peruse mtandaoni tena zaidi ninapokua kazini.Upweke unazidi kuongezeka!

Sihitaji mahusiano tena kwa sasa ni kama nmegive up fulani kwenye huo ulimwengu. Wenzangu mnafanyaje kuepuka upweke? Ubaya nakaa peke yangu pia. Nikirud nyumbani nakereka sana natamani kushinda kazini tu yani. Kiswaswadu nakiweka chumbani mana hata hakiiti. Wallahi nanyooka[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
jasiri haachi asili pambana...au ni DM nikupambanie[emoji4]
 
Ah wee nae sasa watuangusha jamani. Dininyako inaruhusu wee kiwa mke wa pili, tau hadi wanne so unakwama wapi mpaka unakiwa mpweke
Nioe wewe basi, mana unavyolaum over najiuza hapa
 
Nioe wewe basi, mana unavyolaum over najiuza hapa
Hilo ondoa shaka wee njoo pm tuyajenge mrembo....njoo nikustiri mrembo usije ukaanza kutumia matango feki wakati orijino yapo hapa
 
Wee mrembo njoo tuyajenge bwana acha na upweke huo. Unatakiwa uwe na mwanaume wakukupa stress ndogo ndogo huku baadae anapoza stress hizo na mgegedo wake
na hii mvua hebu acha hizo
 
Back
Top Bottom