Nimeanza na Kuku wa kukaanga

Nimeanza na Kuku wa kukaanga

kaka tutafutane maana nawahitaji sana hao 0762595958, nataka nifungue goli la vipande vya kuku sehem
Uko sehem gan kwa sasa?
Mbona masokoni wapo Sana, mfano tandika. Nenda masoko makubwa makubwa. Na Huduma ya kuchinja ipo.
 
Uko sehem gan kwa sasa?
Mbona masokoni wapo Sana, mfano tandika. Nenda masoko makubwa makubwa. Na Huduma ya kuchinja ipo.
nipo Igunga ila nilikua nataka niwe naangizia huko nimeona bei rahisi na pia usafirishaji kwa upande wangu ni rahisi naomba namba zako mkuu
 
Salam wasakatonge.kuhusu mishe ya kuku naona soko linakuwa siku hadi siku ila unatakiwa kujua unauza kuku kwa kumlenga nani.nadhani watu wa majumbani wanaotumia kama mboga ndio wako wengi hasa wilaya ya temeke.usiweke mbembe nyingi we dili na usafi.ubora.na bei.ukipata vifungashio vizuri itafaa zaidi
 
Samani kwa kudandia uzi mimi nilianza mishe za kukaanga samaki na kutembeza nyumba hadi nyumba kuanzia kisemvule hadi mbagala nimeshapavuruga. Ila nina wazo jipya kwenye samaki hao hao...natamani nianze kuweka kwenye vifungashio vizuri nipeleke maofisini.hasa samaki sato sangara na kambale...naomba mwangaza jinsi ya kupenya town kwenye maofisi
 
Unapofikiria kuanza biashara kwanza unatakiwa kuangalia.

1.Mteja wako ni nani?
Unatakiwa umjue mteja wako kabla ya kuanza biashara yaani ni nani atakaenunua bidhaa yako.

2.Unamfikiaje
Ukishamjua ni nani pia unatakiwa utambue unamfikiaje,kwa njia zipi?

3.Unampataje
Hatua ya tatu ni unampataje,hapa unatengeneza sasa mbinu za kumpata itategemea na biashara yako.hapa ndipo mbinu za kibiashara na branding inafanyika

4.Anapatikana wapi?
Baada ya mbinu sasa unatakiwa ujue anapatikana wapi,shambani,nyumbani,barabarani ama ofisini,usije mlenga wa barabarani kumbe mteja wako yuko nyumbani.

5.Unauelewa mzuri na hiyo biashara

Kitu cha mwisho hakikisha unauelewa mzuri na hiyo biashara pia hakikisha wazo lako ni utatuzi wa tatizo usifanye kwa kuwa umejisikia na hakuna anaefanya.

Ukimaliza hayo sasa unaanza kujibrand ili upate nafasi sokoni na utambulike ili mteja apate ahadi yako na kukuamini.
Huwezi ukawa na uelewa mzuri wa biashara ikiwa haujawai kufanya hiyo biashara.
 
Samani kwa kudandia uzi mimi nilianza mishe za kukaanga samaki na kutembeza nyumba hadi nyumba kuanzia kisemvule hadi mbagala nimeshapavuruga. Ila nina wazo jipya kwenye samaki hao hao...natamani nianze kuweka kwenye vifungashio vizuri nipeleke maofisini.hasa samaki sato sangara na kambale...naomba mwangaza jinsi ya kupenya town kwenye maofisi
We penya tu hakuna utaratibu
 
deep-fried-tilapia-recipe-main-photo.jpg
 
Samani kwa kudandia uzi mimi nilianza mishe za kukaanga samaki na kutembeza nyumba hadi nyumba kuanzia kisemvule hadi mbagala nimeshapavuruga. Ila nina wazo jipya kwenye samaki hao hao...natamani nianze kuweka kwenye vifungashio vizuri nipeleke maofisini.hasa samaki sato sangara na kambale...naomba mwangaza jinsi ya kupenya town kwenye maofisi
Wazo zuri kaka, vipi bado uko na hiyo kazi tuwasiliane mkuu?
 
Back
Top Bottom