Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo Igunga ila nilikua nataka niwe naangizia huko nimeona bei rahisi na pia usafirishaji kwa upande wangu ni rahisi naomba namba zako mkuuUko sehem gan kwa sasa?
Mbona masokoni wapo Sana, mfano tandika. Nenda masoko makubwa makubwa. Na Huduma ya kuchinja ipo.
Huwezi ukawa na uelewa mzuri wa biashara ikiwa haujawai kufanya hiyo biashara.Unapofikiria kuanza biashara kwanza unatakiwa kuangalia.
1.Mteja wako ni nani?
Unatakiwa umjue mteja wako kabla ya kuanza biashara yaani ni nani atakaenunua bidhaa yako.
2.Unamfikiaje
Ukishamjua ni nani pia unatakiwa utambue unamfikiaje,kwa njia zipi?
3.Unampataje
Hatua ya tatu ni unampataje,hapa unatengeneza sasa mbinu za kumpata itategemea na biashara yako.hapa ndipo mbinu za kibiashara na branding inafanyika
4.Anapatikana wapi?
Baada ya mbinu sasa unatakiwa ujue anapatikana wapi,shambani,nyumbani,barabarani ama ofisini,usije mlenga wa barabarani kumbe mteja wako yuko nyumbani.
5.Unauelewa mzuri na hiyo biashara
Kitu cha mwisho hakikisha unauelewa mzuri na hiyo biashara pia hakikisha wazo lako ni utatuzi wa tatizo usifanye kwa kuwa umejisikia na hakuna anaefanya.
Ukimaliza hayo sasa unaanza kujibrand ili upate nafasi sokoni na utambulike ili mteja apate ahadi yako na kukuamini.
We penya tu hakuna utaratibuSamani kwa kudandia uzi mimi nilianza mishe za kukaanga samaki na kutembeza nyumba hadi nyumba kuanzia kisemvule hadi mbagala nimeshapavuruga. Ila nina wazo jipya kwenye samaki hao hao...natamani nianze kuweka kwenye vifungashio vizuri nipeleke maofisini.hasa samaki sato sangara na kambale...naomba mwangaza jinsi ya kupenya town kwenye maofisi
Wakuu hii biashara nayo iko vyema sana
Hiyo ya kutembeza nyumba kwa nyumba ulikua unapiga faida sh. Ngapi kwa siku? I am interestedWakuu hii biashara nayo iko vyema sana
Wazo zuri kaka, vipi bado uko na hiyo kazi tuwasiliane mkuu?Samani kwa kudandia uzi mimi nilianza mishe za kukaanga samaki na kutembeza nyumba hadi nyumba kuanzia kisemvule hadi mbagala nimeshapavuruga. Ila nina wazo jipya kwenye samaki hao hao...natamani nianze kuweka kwenye vifungashio vizuri nipeleke maofisini.hasa samaki sato sangara na kambale...naomba mwangaza jinsi ya kupenya town kwenye maofisi