Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

Hongera sana mkuu umetupa mwanga na sisi ambao Bado tunajifikiria tutaanzaje
 
Nyie ndiyo wale ambao mbao zenu mnapaka dawa ya ukili badala za dawa ya mbao?
 
Treated ya aina ipi unatumia, ile ya kuchemsha moja kwa moja kwenye mbao (Kama wanavyofanya Saohill) au ile ya kupakwa kama juu ya mbao kama rangi ya kucha

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Wanatumia food color kama wanazotumia kwenye keki. Nàkushauri usinunue hizo wanazosema zina dawa. Ni utapeli mtupu
 
Natamani nione photo wadau naona kwangu hazifunguki nifanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…