Nimeanzisha kliniki ya kinywa na meno

Hiyo ni moja ya mipango yangu ndugu tuombe uzima
 
Dunia ndogo eeh!shwari mkuu karibu njombe
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri umefika
 
Nisaidieni kwa Dar nitapata wapi hii huduma na kama wanakubali kadi ya AAR.
Blessed
 
Nisaidieni kwa Dar nitapata wapi hii huduma na kama wanakubali kadi ya AAR.
Blessed
Fast Track- Muhimbili kuna huduma nzuri pale nadhani wanakubari AAR card
 
Hongera Dr, na kila kitu kina mwanzo, ndugu zangu yuwe teyari kumpa ushirikiano katika suala la afya
Karibuni kwa matibabu ya kinywa na meno na ushauri -nipo njombe mjini mtaa wa pamba nyepesi nyuma ya stendi kuu-kliniki inaitwa kiyoya dental clinic-karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…