secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mi mwenyewe nishangazwa sana na hali hii.Inashangaza sana! Asante kwa taarifa mkuu.
Ukishazoe kusikiliza music๐ต kupitia radio ni taabu tupu.Hiyo hali inanitokea pia
Hiyo hali inanitokea pia
Haya msindikizane sasa kwenda hospitali kupata matibabu sahihi. Maana matatizo yenu yanafanana. Na kama hamna bima ya afya, mseme tupitishe mchango.Ukishazoe kusikiliza music๐ต kupitia radio ni taabu tupu.
Fanyeni kupitisha harambee maana hatuna bima.Haya msindikizane sasa kwenda hospitali kupata matibabu sahihi. Maana matatizo yenu yanafanana. Na kama hamna bima ya afya, mseme tupitishe mchango.
Hahaha ๐Unajua kwenye radio mara nyingi nyimbo ikipigwa hairudiwi tena kwa muda huo
Kwahiyo akili yako Inahamasika kuusikiliza kwakuwa inajua burudani itayopata ni ya muda mfupi na baada ya hapo itaitoweka
Tofauti na kuwa na nyimbo kwenye simu akili inajua muda wowote inaweza kuusikiliza hiyo Ngoma kwahiyo hamasa inakuwa ndogo
All in all ubongo wako unapenda michepuko
Hakika mkuu๐Mkuu,
nalifanyia kazi mkuu ntarud ku share nawe what to do.
Boom play na Spotify.Unatumia app gani kusikiliza mziki kwenye simu yako?
Hujanisingizia mkuu๐Umezeeka brother..
Tumia neutron music player haipotezi ubora wa ngomaBoom play na Spotify.
Muzi naousikiliza kupitia App unaweza kuwa na usikivu mzuri lakini siufurahii kama ninavyoufurahia wa kwenye radio.Tumia neutron music player haipotezi ubora wa ngoma
By the way ni addiction tuu mkuu Mimi Kusikiliza radio ama TV naenda kutimiza mwaka wa 2 sasa sifurahishwi navyo kabisaaHujanisingizia mkuu๐
Radio station zinatoa mziki wenye ubora wa juu ndio maana nimekupa app ambayo huwa haipotezi ubora wa mziki ukipakua ngomaMuzi naousikiliza kupitia App unaweza kuwa na usikivu mzuri lakini siufurahii kama ninavyoufurahia wa kwenye radio.
All in all ubongo wako unapenda michepuko